Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Huyu kweli baharia. Kama kusoma hajui hata picha haoni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha...kweli UPELE HUPEWA MSIKUCHA...Waswahel walinena[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Domo zege ma2C kiber100Huyu kweli baharia. Kama kusoma hajui hata picha haoni!
Hii hela imenipigisha sana hii. Utoto bana! Ilikuwa kila nikitumwa dukani mimi nakoncetrate kwenye kumbandua chui na mwanawe!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1594475
Shilingi mia mbili enzi za Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa fedha na Rashid akiwa gavana wa benki kuu