Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Dogo na la wastani ndio pekee yanayoweza kunipa stimu za kuyala tena na tena na tena... hayanikifu na sikinai kula vipande kadhaa na wala nisiwe na haja ya kutafuta msosi mbadala... breakfast, tikiti maji langu; lunch tikiti maji langu... dinner na kadhalika na kadhalika na kitachofuata ni kuweka bustani kabisa ili niachane na usumbufu wa kila mara kwenda gengeni!
 

Teh teh ya Amsterdam haya!
 
Matikiti makubwa mara nyingi yanakuwa yameoza ndani kwa ndani...lakini kwa nje yanavutia sana.....
 
Tikiti kubwa mara nyingi hua si tamu linaukosefu radha na hua linamaji mengi lakini dogo hua ni tamu na haliishi hamu mpo
 
Maji huwa yanakauka yale sema wengi wanaokutanayo huwa wanacheza chini ya kiwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…