Dogo na la wastani ndio pekee yanayoweza kunipa stimu za kuyala tena na tena na tena... hayanikifu na sikinai kula vipande kadhaa na wala nisiwe na haja ya kutafuta msosi mbadala... breakfast, tikiti maji langu; lunch tikiti maji langu... dinner na kadhalika na kadhalika na kitachofuata ni kuweka bustani kabisa ili niachane na usumbufu wa kila mara kwenda gengeni!