Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote wanaopenda kuonesha.
Mmetisha sana nyie watu.Matiki makubwa Ukilionja Ukakuta Maji mengi na halina utamu wowote Hauwezi Kuliweka Kiporo na badala yake ni Kulitupa kwenye dustbin...Utaweza Kula Asbh, Mchana na Jioni kama litakuwa tamu..
🤣🤣🤣🤣Dogo na la wastani ndio pekee yanayoweza kunipa stimu za kuyala tena na tena na tena... hayanikifu na sikinai kula vipande kadhaa na wala nisiwe na haja ya kutafuta msosi mbadala... breakfast, tikiti maji langu; lunch tikiti maji langu... dinner na kadhalika na kadhalika na kitachofuata ni kuweka bustani kabisa ili niachane na usumbufu wa kila mara kwenda gengeni!