Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Matiki makubwa Ukilionja Ukakuta Maji mengi na halina utamu wowote Hauwezi Kuliweka Kiporo na badala yake ni Kulitupa kwenye dustbin...Utaweza Kula Asbh, Mchana na Jioni kama litakuwa tamu..
Mmetisha sana nyie watu.
 
Dogo na la wastani ndio pekee yanayoweza kunipa stimu za kuyala tena na tena na tena... hayanikifu na sikinai kula vipande kadhaa na wala nisiwe na haja ya kutafuta msosi mbadala... breakfast, tikiti maji langu; lunch tikiti maji langu... dinner na kadhalika na kadhalika na kitachofuata ni kuweka bustani kabisa ili niachane na usumbufu wa kila mara kwenda gengeni!
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom