Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kila mwanamke yuko tofauti. Wengine hata hiyo G spot ukiifikia wakati keshawaka atakwambia ni too sensitive and almost painful....

Mjue mpenzi wako vizuri. What makes her tick...vinginevyo ni frustrations tu!
Kujuana ni muhimu lakini kiungo Cha G spot kwa asilimia 88.9% wanawake hufurahia inapo tumiwa vyema. Ukumbuke pia sio wanaume wote wenye uwezo wa kumwandaa mwanamke katika faragha, uandaaji katika mapenzi pia Ina changia kufika au kutofika kileleni.
 
swali zuri sana hili Mkuu, ila nikuibie siri mkuu huyo jamaa mwenyewe ni mimi, Ipo hivi demu amejiaribu na madold Boarding school mpaka papuchi imeota Sugu sasa hapo kwa hii zakari yangu ataelewa somo kweli?
Hajasoma boarding mr liarman
 
...saiv yanazama tu chini... Ila wanawake mna mambo... Na hapo aliambiwa amtunzie siri... Ila kwa vile umbea blood... Makoo yenu yana ukurutu... Hakuna namna...
Aliambiwa atunze siri na nani
 
Ramli Chonganishi

Toboa Tobo

Winga Tereza,
 
I like the guy, focus on more important issues, chomeka kojoa, chomoa then lala fofofo kwa ajili ya nguvu ya kutafuta pesa kesho.
Its your choice kuwaachia wanaume wenzio marijali wakusaidie ila yeye hiyo hali inamuumiza ndo mana aliongea kuhusu ex gal wake kwa uchungu na ndio maana binti amekua anaogopa kumueleza ili na yeye asimuumize.
 
ukiachana na huyo ambaye hajawai mfikisha !! Je ashawai fika kilelen huko nyuma? ushangae hamna mwanaume ashamfikisha
Keshafikishwa hadi akapitishwa kituo
Labda uulize kama shem wetu keshawahi kufikisha mwanamke kileleni?
 
Hakuna mpasuko usiokuwa na maumivu, hawakuwa wamejiandaa kwa hilo ni upande mmoja(anaeacha) ndio alijipanga. Kwa mwenzie n maumivu
Sijui kama shem ana maumivu ila the girl is very fine.Mwanzoni alikua anaona tabu ila not now anymore
 
Keshafikishwa hadi akapitishwa kituo
Labda uulize kama shem wetu keshawahi kufikisha mwanamke kileleni?
Hapo amchane tu. Mm binafsi huwa naona ni suala la kawaida tu. Sichukulii personal. Mi mwenyewe nilikua nina utamadun namuuliza manzi vp nakuridhisha? tena nasisitiza na kumtoa shaka anieleze. Kwa kwel walikua wananipa ukweli
 
Hapo amchane tu. Mm binafsi huwa naona ni suala la kawaida tu. Sichukulii personal. Mi mwenyewe nilikua nina utamadun namuuliza manzi vp nakuridhisha? tena nasisitiza na kumtoa shaka anieleze. Kwa kwel walikua wananipa ukweli
Hongera kwa kutokua mbinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…