Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Kujuana ni muhimu lakini kiungo Cha G spot kwa asilimia 88.9% wanawake hufurahia inapo tumiwa vyema. Ukumbuke pia sio wanaume wote wenye uwezo wa kumwandaa mwanamke katika faragha, uandaaji katika mapenzi pia Ina changia kufika au kutofika kileleni.Kila mwanamke yuko tofauti. Wengine hata hiyo G spot ukiifikia wakati keshawaka atakwambia ni too sensitive and almost painful....
Mjue mpenzi wako vizuri. What makes her tick...vinginevyo ni frustrations tu!
