Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Mwambie aniletee huyo jamaa yake nimshikishe ukuta, tatizo kubwa la hawa dada zetu ni kupenda kudate na vitoto vya bongo fleva. Unampa game na hata hajakukujoza anakwenda kukutangazia mtaani ama mtandaoni kama afanyavyo kaka yao Haji Manara.
 
Sio lazima dunia nzima ijue wenzio wanakushikisha ukuta mkuu
 
Saa nyingine relationships zinakufa kutokana na ushauri usio sahihi. Huyo rafiki yako kama aliweza vumilia for a year ulishindwa Nini kuwaita wote kwa pamoja na kujua tatizo lipo wapi. Umepata maelezo ya upande mmoja wa rafiki yako, hukupata maelezo ya bwana wake na kujua shida iko wapi umegeneralize tu kuwa mwamba hajui kitu haha.

Ukweli huuma ila mngetafuta namna ya kumwambia ili aseme ni kipi kinamfanya awe hivyo.

Namalizia: si kila mwanaume anajua kucheza na hisia za mwanamke hata akikuta mapungufu yanatakayomfanya asimfikishe mwanamke huyo labda kuwe na shida nyingine za kiafya(psychology)
 
Asitupige na kitu kizito bhana, mwanamke hajawahi penda mtu asiyemkojoza sema anakaa na jamaa kupata unafuu wa maisha tu. Eti nampenda sitaki kumuudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…