Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kamwambia leo asubuhi ila roho imeniuma sijui anajisikiaje kaka wa watu huko alipo.😭
Acha kukuza mambo yaani uambiwe hujawahi kumfikisha mtu uumie? Yeye alifanya nini kuhakikisha anafika! Si suala la kubadiri mikao tu na angle labda kama jamaa hasimamishi kabisa vinginevyo dem nae mshamba tu akiombwa tu game analila mgongo kama anafanya zoezi la kukata tumbo
 
Kanieleza binti.
Mwamba ndie anayempa binti deprwssion.
Usiombe kupenda mtu asiyekuridhisha hlf uko muaminifu kwake.hizo genye lazima uchanganyikiwe
Kakueleza yote hayo Kwamba amechanganyikiwa
 
Kikubwa hapo achart na baib wake amuulize wanapokua sita kwa sita ni kitu gani uwa anapenda au kinamfurahisha na kumfikisha Zen hapo jamaa Kama anajielewa atamuuliza na yeye amwambie kitu gani anapenda kufanyiwa Cha kumfikisha anamwambia mwamba kwenye sita kwa sita atazingatia dada yetu ataenjoy na Kama dada mwenyewe hajui hakifanyiwa nini ndiyo anafika kileleni kazi hipo
 
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Mwambie amchane live
 
Ila sisi wanawake tuna Siri...

Unaweza ukawa unaona unamfikisha kileleni kumbee [emoji1787]

Yaani anakuigizia...

Alafu akitoka hapo kimyaa, anakuchora...

Wanawake vicheche wanaenda kwa watu wao wanaowafikisha kileleni...
 
Kwa msaada soma zaidi matumizi halali ya G-spot, na mapenzi, kwenye majarida mbali mbali utafahamu suhulisho.
 
demu pia ataacha kila mwanaume! Kwani yeye aliemfikisha mpaka akapajua vzuri (kileleni) alimuachaje??
swali zuri sana hili Mkuu, ila nikuibie siri mkuu huyo jamaa mwenyewe ni mimi, Ipo hivi demu amejiaribu na madold Boarding school mpaka papuchi imeota Sugu sasa hapo kwa hii zakari yangu ataelewa somo kweli?
 
Muulize kwanza yeye mwenyewe anafikishika?
Wanawake wa Kibongo wanashangaza sana. Kamwe hawezi kukupa code za mwili wake jinsi ya kumfikisha. Yaani ni trial and error hata ya miaka miwili mtu unabahatisha. Kama ana kimwanaume chake cha tangu chuo huko kinachomjulia atakuwa anakimbilia huko kwenda kufikishwa. Sijui kuna ubaya gani kukwambia wewe mambo ya kufanya na mkaenda sawa.

Binti wa kizungu, mara nyingi atakwambia tu right away. SYB ukitaka kunifikisha, please no (deep) penetration. Fanya tu hivi. Nishike hapa. Kichwa kiweke hapa. Chezeshea hapa mara pwaaa mimaji hiyo mtu anaparalaizi kwa muda.

Just open up to your man. Relax and allow him to take you to Pagak!

Aaaaaaargh!
 
Kwa msaada soma zaidi matumizi halali ya G-spot, na mapenzi, kwenye majarida mbali mbali utafahamu suhulisho.
Kila mwanamke yuko tofauti. Wengine hata hiyo G spot ukiifikia wakati keshawaka atakwambia ni too sensitive and almost painful....

Mjue mpenzi wako vizuri. What makes her tick...vinginevyo ni frustrations tu!
 
Back
Top Bottom