Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Mwambie atumie Marangu route zingine taabu tupu
 
swali zuri sana hili Mkuu, ila nikuibie siri mkuu huyo jamaa mwenyewe ni mimi, Ipo hivi demu amejiaribu na madold Boarding school mpaka papuchi imeota Sugu sasa hapo kwa hii zakari yangu ataelewa somo kweli?
hahahah hapo kwenye "ni mimi" nimecheka sana!!!!
 
1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Asante kwa neno mtumishi Faiza.
 
Video za ngono zitawaua.
The moment unafeel happy hiyo ndio peak katika mapenzi.
Sijui utamu mpaka kuzimia , sijui kumwaga mimaji sio kileleni bali ni miongoni mwa viashiria vya kileleni.
You can go there without that sign.
Muda mwingine tatizo ni la mwanamke. How come unafilimbwa dk 5 au zaidi na usifike?
 
Binti anampenda sana jamaa.. ni kitu kizuri, ila kazi ya kupenda huwa sio ya mwanamke ni kazi ya mwanaume ( Anae takiwa kupenda ni mwanaume ).. Mwanamke anakuwa na emotion za upendo.. Hapo rahisi kuonekana kama ana vitabia flani visivyo.. kwasababu inaonekana wali ruka hatua.. hawajawai kuwa washkaji, marafiki .. kama wangekuwa washkaji na marafiki jambo rahisi sana hilo.. ila hata kama hawapo hivyo, aende nae mdogo mdogo kwa vitendo.. ajitahidi ku dominate game.. wakati mwingine aanzishe hata challenge za mtifuano kama marafiki ana muandaa mwenzake kimashindano kwa ahadi.. ujue mapenzi bila utani na mizaha na ukatuni yana boa..
 
Kwanini ufikishwe kileleni, siuende mwenyw 😂.
Yaan wanawake kila kitu wawezeshwe.
 
...mwambie akamchimbie migomba... Amchanganyie kwa chai... Alafu hata hvo...ndo kashamtangaza... Na wewe umemwaga mtama kwetu... Na sis ngoja tukamwage...
Maji yashamwagika hakuna cha kumwaga tena
 
Ni upuuzi kushindwa kumshirkisha jambo la ndani mtu unayedili nae harafu unakuja humu jf kuomba ushauri,wewe mwelekeze akufanyie Hilo linalokufurahisha. Vijana wa Leo mnashida sana yote ni Kwa sababu ya stori za mitandaoni.
Sawa mzee Ngonyani
 
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Mkuu mwambie hakuna mwanaume wa kukufikisha kileleni ila wewe mwenyewe mwanamke pambana ufike kileleni,yaani pesa nitoe mimi,kuingiza na kuhangaika kupump mimi tena nihangaike kukukojoza wewe,aaah thubutu!!
 
Back
Top Bottom