Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Maji yashamwagika hakuna cha kumwaga tena
...saiv yanazama tu chini... Ila wanawake mna mambo... Na hapo aliambiwa amtunzie siri... Ila kwa vile umbea blood... Makoo yenu yana ukurutu... Hakuna namna...
 
Mkuu mwambie hakuna mwanaume wa kukufikisha kileleni ila wewe mwenyewe mwanamke pambana ufike kileleni,yaani pesa nitoe mimi,kuingiza na kuhangaika kupump mimi tena nihangaike kukukojoza wewe,aaah thubutu!!
Wapo
 
Mkuu wangu asante kwa ushauri wako ila imagine binti anaomba waandaane kwanza ila mtu anasema hakuja haja anachomeka ana pump anakojoa then THE END .
I like the guy, focus on more important issues, chomeka kojoa, chomoa then lala fofofo kwa ajili ya nguvu ya kutafuta pesa kesho.
 
Kila mwamba nvoma huvutia kwake, binti kaja na malalamiko kwako na umeshaur amuache jamaa. Naona hauko sahihi labda kama huyo binti ni wewe ila kama sio wewe basi hakutakiwa kumuacha.

Ni tatizo dogo hilo kutibia kwa miaka hii. Huyo dem atabadili wanaume wangapi ili apate alie perfect. Ex wake anamkojoza wameachana, huyu nae anatemana nae, ataenda kwa mwingine nae akikuta ana kitu hapendi list itaendelea.

Asimuache, amtibu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Acha kukuza mambo yaani uambiwe hujawahi kumfikisha mtu uumie? Yeye alifanya nini kuhakikisha anafika! Si suala la kubadiri mikao tu na angle labda kama jamaa hasimamishi kabisa vinginevyo dem nae mshamba tu akiombwa tu game analila mgongo kama anafanya zoezi la kukata tumbo
Ni mawazo yako tu
 
Kikubwa hapo achart na baib wake amuulize wanapokua sita kwa sita ni kitu gani uwa anapenda au kinamfurahisha na kumfikisha Zen hapo jamaa Kama anajielewa atamuuliza na yeye amwambie kitu gani anapenda kufanyiwa Cha kumfikisha anamwambia mwamba kwenye sita kwa sita atazingatia dada yetu ataenjoy na Kama dada mwenyewe hajui hakifanyiwa nini ndiyo anafika kileleni kazi hipo
Asante kwa ushauri mzuri mkuu.Nitampatia binti labda utamfaa huko aendako
 
Ila sisi wanawake tuna Siri...

Unaweza ukawa unaona unamfikisha kileleni kumbee [emoji1787]

Yaani anakuigizia...

Alafu akitoka hapo kimyaa, anakuchora...

Wanawake vicheche wanaenda kwa watu wao wanaowafikisha kileleni...
Kwa kuangalia hizi koment inaonesha kaka zetu wengi hapa wanasaidiwa uanaume na bodabodas
 
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie

ukiachana na huyo ambaye hajawai mfikisha !! Je ashawai fika kilelen huko nyuma? ushangae hamna mwanaume ashamfikisha
 
Wanawake wa Kibongo wanashangaza sana. Kamwe hawezi kukupa code za mwili wake jinsi ya kumfikisha. Yaani ni trial and error hata ya miaka miwili mtu unabahatisha. Kama ana kimwanaume chake cha tangu chuo huko kinachomjulia atakuwa anakimbilia huko kwenda kufikishwa. Sijui kuna ubaya gani kukwambia wewe mambo ya kufanya na mkaenda sawa.

Binti wa kizungu, mara nyingi atakwambia tu right away. SYB ukitaka kunifikisha, please no (deep) penetration. Fanya tu hivi. Nishike hapa. Kichwa kiweke hapa. Chezeshea hapa mara pwaaa mimaji hiyo mtu anaparalaizi kwa muda.

Just open up to your man. Relax and allow him to take you to Pagak!

Aaaaaaargh!
How do you open up to someone who says there is no need for foreplay and is always tired?
 
Back
Top Bottom