Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kanieleza binti.
Mwamba ndie anayempa binti deprwssion.
Usiombe kupenda mtu asiyekuridhisha hlf uko muaminifu kwake.hizo genye lazima uchanganyikiwe
Umejuaje kuwa laxima uchanganyikiwe na umetumia neno mwamba uonekane wa kiume.kimsingi acha kupenda hela muache apate wake
 
Mapenz ni hisia full stop

Swala la kufika kileleni ni la wote Na hata mwanamke nae akichelewa kufika kileleni au hafiki ni ugonjwa pia

Vijana weng wanapotea kwa kukosa Maarifa Na kujiona hawajui sasa mwanamke hajishughulish mchafu,yuko yuko tu hyo hamu ya kumfikisha inatoka wapi.
 
Unajuaje kama hujawahi kufika? Kwani unapajua? Rudi kwa aliekufikisha mwache mwamba wetu usimpe depression
Ushauri mzuri sana max[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom