Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Tatizo kachelewa sana kusema,mwaka mzima hakufikishi ndio uje useme ,atamuoma mnafiki sana.....
Ila kutofika kileleni kileleni kunaleta unyonge sana......na wanaume ukimwambia tu hakufikishi au umwelekeze akushike hapa lazima anune na akuache in the name of malaya
Dada yangu kumfikisha mwanamke kileleni kuna raha yake aisee, yaani anavyolia huku anajinyonga nyonga, na kukukumbatia.

Baada ya hapo anakuganda kama luba, anakuwa mtiifu mno ili usimuache, siku nyingine mechi anakuita yeye mwenyewe.
 
Kabisaaa, yaani huyo mtu anayekufikisha ukiona simu yake tu unatetema.....
 
Kabisaaa, yaani huyo mtu anayekufikisha ukiona simu yake tu unatetema.....
Kumbe ndo mnavyokuwaga hivyo 🤣 😂, lakini kila mtu na mtu wake, mwanaume unaweza ukamkojoza msichana A na B, lakini ukashindwa kumkojoza msichana C. Watu wapo tofauti kabisa, kwahiyo usishangae unapokutana na jambo tofauti.
 
kama hata hilo hawawezi kuongea kwa uwazi ni wazi hakuna mapenzi hapo, wapo wanaigiziana tu.
 
We sema tu umemchoka mwamba wetu unataka ubadilishe tu maana nyie sababu haziwakosagi mwache tu mfate yule aliyekuwa anakufikisha kabla ya huyu
 
Kumbe ndo mnavyokuwaga hivyo 🤣 😂, lakini kila mtu na mtu wake, mwanaume unaweza ukamkojoza msichana A na B, lakini ukashindwa kumkojoza msichana C. Watu wapo tofauti kabisa, kwahiyo usishangae unapokutana na jambo tofauti.
Ni kweli,ila anayekukojoza ana heshima zake.
 
Hiyo simple!!, Achague kimojawapo aendelee kubaki na msongo wa mawazo kwa handsame wake ama aachane naye akatafuta ambaye atamkojoza
 
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Queen kama ni wewe mwenyewe na kama ni hawa vijana wa siku hizi mchane tu live wala usimfiche! Vijana wengi wa siku hizi nasikia malalamiko kila kona kwamba hawakojozi!!
 
Wakati wa kunyanduana jamaa alale chalii alafu shoga yako aikalie ajipimie mwenyewe akishindwa kufika uko kileleni basi ilo ni tatizo lake
Mkuu na wewe unamdanganya, kwani kikojoo kiko mbali hivyo? Anakipita hapo karibukaribu anaenda mbali kote huko kufanya nini?
 
Back
Top Bottom