Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

Inategemeana mwanafunzi wa form ngapi?

Unakutana na pisi ya form five au six ..unaiachaje?

Unakula tu ila kwa tahadhari

Angalau wa Advance wanajielewa Ila sio hivi vya Olevel..
nadhani hawa wa form five na six ni ruksa kuwatafuna, sheria haiwatambui kama ni watoto chini ya miaka 18. Hawa ni sawa na wanachuo tu, watajilinda wenyewe dhidi ya mihemko na tamaa zao za kimapenzi
 
Yule RC wa Simiyu kesi yake iliishia wapi ?
 
shida wakubwa wenzetu zinasoma km 300,000 wakat hao madogo walio wengi zinasoma chini ya km 20,000 yaani kitu mang'anya ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„
 
Usitupangie maisha
Hili jibu nililitegemea, kuna dogo amefuatwa na polisi siku ya leo majira ya saa moja na nusu. I thought it 'd be helpful kama niki-share ujumbe.

By the way najua unatania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Inategemeana mwanafunzi wa form ngapi?

Unakutana na pisi ya form five au six ..unaiachaje?

Unakula tu ila kwa tahadhari

Angalau wa Advance wanajielewa Ila sio hivi vya Olevel..
Jela hakuna msosi unaoupenda
 
P
shida wakubwa wenzetu zinasoma km 300,000 wakat hao madogo walio wengi zinasoma chini ya km 20,000 yaani kitu mang'anya ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„
Pambana na hizo hizo 300,000 km achana na hawa madogo, jela kunaita kwa bashasha. Unatia maguu malaika wa fate anaweka jina lako kwenye waiting list ya wafungwa wa mwaka huu.
 
Hili jibu nililitegemea, kuna dogo amefuatwa na polisi siku ya leo majira ya saa moja na nusu. I thought it 'd be helpful kama niki-share ujumbe.

By the way najua unatania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Uyo mwamba kwenye dp yako ni very serious kwa ile prisons break aiseee...
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni kweli mkuu natania..
Mimi ni balozi kabisa wa binti.. napenda watoto wasome..

Naumia sana napoona vijana wakijihusisha na watoto wa shule kimahusiano huwa naumia sana aiseee..

Ndio mana mara nyingi uwezi ona naongelea kuhusu hawa wanafunzi kwa maana nina elewa .

Mkuu nina wadogo wa kike zaidi ya wa nne na wote wapo shule hivo imagine how i feel...

Lakini ukija upande wa mishangazi aiseeee muniuwe tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ