Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Teh teh mimi namtetea kwa sababu post yake ni nzuri na inahitaji umakini sana kuijibu, lakini
wamatumbi kama wewe mnakimbilia kwenye jinsia yake, what a shame is that.....

kwa hio wewe unaona sawa dume kuitwa zubeda? au na wewe mcameroon kama yeye?
 
Fakenology.....
uko sahihi kabisa,facts za zubeda ni nzuri na ndo maana nikasema watu hawajibu post kwa facts, halafu wengi humu ni majike dume yanaona hii isue ikiwa proved hapa yataumbuka maana yanakwanguliwa kila siku kabla ya kukutana na wenzi wao.
 
wote muliochngia katika hiyo "siridi"muko sawa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sio mbaya mme kuitwa zubeda kwani tatizo liko wapi? Mbona mie sioni tatizo hapo? Acha kuwaza cameroon mtoto wa kike
kwa hio wewe unaona sawa dume kuitwa zubeda? au na wewe mcameroon kama yeye?
 
mi nadhani hayo meupe huwa unayamwaga wewe mengi kama hujaduu siku nyingi na unapodu du kila wakati yanapungua au unapodu na wengi. hivyo usipoyaona mautando yako ujue umetoka huko ulikotoka na kuyaacha huko usimsingizie mdada kumbe wewe ndo hivyo tena...
 

well said
 
That is a gynaecological condition called vaginal candidiasis caused by a fungus called Candida albicans. It is not sexually transmitted. Apart from what has been stated by Zubeda, the condition also presents with genital itching. Easily treatable.

Nothing to do with long sexual abstinance
 
pole zubeda.ni nature ya wanake kwani ni maumbile yao.ila wanawake wengi wameathiliwa na ile dhana ya kwamba uke hujisafisha wenyewe,ni kweli uke hujisafisha wenyewe hali iliyopelekea wanawake wengi kusafisha uke juu juu.huo utando huitwa utoko na hukaa ndani ya uke na huwa unatoka kidogo kidogo.USHAURI WANGU,mwambie mpenzi wako awe anajisafisha kwa kuingiza kidole ukeni pindi anapooga ama kujisaidia.awe na maji ya kutosha ili kila anapoingiza kidole na kutoa uchafu huo asuuze kidole nakisha kukiingiza tena.afanye hivyo mpaka ahakikishe uchafu wote umetoka then ajioshe vizuri walu mara3 kwa cku,kabla hamjakutana namkishamila kufanya mapenzi.hii itamsaidia kwani huo uatando ni kawaida kwa kila mwanamke ila ukikaa sana unaweza kumletea magojwa kama fangas.
 




Thanx Dume well said
 
mimi ndo maana nawashangaa wanaoingiaga chumvini kwa magelo frendo wao, wanachota magonjwa tupu, looooooooooh!
 

Ni kama ulijua yatayokukuta!
 
Nasimamia nachokiamini.mkubali mkatae ukweli ndo huo.
Na utando huo si fangasi kama muwazavyo, hayo ndo ya ukweli .

Mnapinga mpaka mapovu yanawatoka lakini watoto wa kike wanajua hili.
 
mimi nilijua hii topic inagusa mahusiano moja kwa moja hivyo watabisha kwa nguvu zote.
ila mtoa mada ameongea ukweli mtupu na ukweli cku zote ni maumivu.
kama we ni kidume unafikisha had mwez hamjakutana mchumba halaf mkidu ndo bila utando ujue kuna mawili
kama humsaidii mwenzako basi ujue unasaidiwa na mtu au watu kabisa.
naona wototo wa kike mnajitahd kumkosoa mtoa mada lakini amepiga ikulu. kalibia mnaumbuka na um***ya wenu.
 

wewe ndio huyo huyo zubeda,endelea kuamini upuuzi...unaelekezwa bado unaamini ujinga nyie ndio mnaoua albino kwa kuamini upuuzi.watu wote hao wanavyokuelekeza ni sawa na bure bichwa ziiiiitooooooo kama uji wa mchele khaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…