Utangazaji unalipa

Utangazaji unalipa

Sidhani kama kuna issue ya Jide hapa! Unajua Gardner yupo kwenye media kitambo na ni mtu wa kujichanganya. Kutokana na hivyo, ana connection nyingi sana za advertisers. Kwahiyo linapokuja suala la deal la kupata matangazo, Gardner ni brand. Brand ya matangazo ndiyo inayohitajika kwenye media kwahiyo watu hawaoni taabu kutumia pesa kumvuta mtu kama Gardner. Hata Nyumbani Lounge wakati ule, kuna watu kibao walikuwa wanaenda kutokana na influence yake.
Yeah, yote mawili yanawezekana chief, ndo mana na mimi niliweka neno NADHANI, Na wee umeweka SIDHANI.

Hatuna uhakika
 
Sidhani kama kuna issue ya Jide hapa! Unajua Gardner yupo kwenye media kitambo na ni mtu wa kujichanganya. Kutokana na hivyo, ana connection nyingi sana za advertisers. Kwahiyo linapokuja suala la deal la kupata matangazo, Gardner ni brand. Brand ya matangazo ndiyo inayohitajika kwenye media kwahiyo watu hawaoni taabu kutumia pesa kumvuta mtu kama Gardner. Hata Nyumbani Lounge wakati ule, kuna watu kibao walikuwa wanaenda kutokana na influence yake.
Jide alifunga Nyumbani Lounge baada ya kuachana na Gardner, hakukua na wateja. Garnder alimfikisha Jide pale alipokuwa wakati wanaachana.
 
Jide ni level gani...?? kayumba sana baada ya kuachana na Gardner. Ushindani ni mkubwa sana kwake sasa hivi. Atafute kitu kingine cha kufanya lakini mziki without Gardner, anatwanga maji kwenye kinu
Kwani huo mziki alianza na gadner?
Kayumba nn so far zaid ya kuanzisha mabusiness na vitega uchumi vipya?u act u knw her mamangu i do knw jide
 
Jide alifunga Nyumbani Lounge baada ya kuachana na Gardner, hakukua na wateja. Garnder alimfikisha Jide pale alipokuwa wakati wanaachana.
U just think negative ili ujustify point yako but have u ever think about another reason ya kufunga nyimbani lounge?think better mamangu
 
Hiyo gari hata akilipwa mshahara wa 3m hawezi kuimudu.....disc 3 ni ghali ambayo spea zake ziko juu....service tu inakula 300000
. Hiyo ni service ya gari za mjapani tena wagon sio SUV. Sio pesa ya service ya disc labda kwa mafundi wa vichochoroni uchwara. Hiyo gari unapaswa usipewe ununue kwa hiari yako,vinginevyo utauza. Kwa sifa zake itaikeep harafu bajeti yake ataugulia kisabuni. Wabongo wengi wenye hizo ndinga parking yake lazima iwe na vi-baby walker hii yakuuuzia nyago tuu.
 
Nipeni ujuzi. Discovery 3 zina niini. Manake huwa nayapenda sana haya magari (japo similiki hata baiskeli). Naona CMC WANA DISCOVERY 4. $ 82,000. HUWA NADATA TU KWA BEI. DISC 4 IS LIT KAMA RANGE TU
Bro katika magari mara nyingi bei inaweza kuwa kubwa sababu ya "brand". Sifa yake ni comfortability,flexibility,standard and speed. Tafuta hela tuu mkubwa $82000 sawa na 164,000,000. Jikaze bro ukikuta yenye mileage 100000+ unapata kwa nusu bei. Ila kama mfuko wako haupo sawa lazima utembee na madumu kwenye buti. Kila la kherii.
 
Discovery series zimekaa ki gentle. Zaidi tofauti na range rover hadi vitoto vya kike vinaendesha. Since nimezijua disc sijawahi kuona demu Oki endesha. Ni wanaume tu nashuudia
Tafuta pesa hizo zingine kwele. Tafuta pesa utapata ndinga yeyote uitakayo. Gari ya kiume na ya kike ni stori za vijiweni. Ni sawa na mtu kaoa mnaanza kosoa mke wake. Kawaowea nyie? Tafuta pesa dogo dunia inamambo mazuri mazuri. Tafuta pesa... tafuta pesa dogolas
 
Mkuu. Inatosha... Hayo mambo ya dogo sijui dogolas umeyatolea wapi mkuu. Kuhusu kutafuta pesa. Asante kwa kunikumbusha ila hapa nilipo natafuta pesa...... Kuhusu uwepo magari ya kike na kiume iyo kitu ipo. Haina ubishi.... Mkuu unaweza kuendesha gari ya pink?
 
Yeah, nakubali Jide ni another level, lakin kwa mkataba huu wa jamaa, hizi level zinaweza zikalingana hapa mjin (Mbeleni).

Kumbuka bado hatujui huo mshahara wake ni kias gan, na kumbuka pia jamaa yetu ana mashabik lukuki, so anaweza akafanya mambo makubwa zaidi..!!

kwa hiyo uyo mwanaume anashindana na mwanamke? ina maana huyo mwanaume alikuwa hana kitu anamtegemea jide? kwa hiyo kapata kazi kwa ajili ya kisasi? afanye kazi mungu hupanga rizik huwez ukajua unaeshindana nae kapangiwa kipi na mola.
 
Discovery series zimekaa ki gentle. Zaidi tofauti na range rover hadi vitoto vya kike vinaendesha. Since nimezijua disc sijawahi kuona demu Oki endesha. Ni wanaume tu nashuudia
Wapo wanawake wengi tu wana Push hizo SUVs

Jide mwenyewe alikua na Evoque
 
Back
Top Bottom