Mgogo Mmoja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 332
- 336
Yeah, yote mawili yanawezekana chief, ndo mana na mimi niliweka neno NADHANI, Na wee umeweka SIDHANI.Sidhani kama kuna issue ya Jide hapa! Unajua Gardner yupo kwenye media kitambo na ni mtu wa kujichanganya. Kutokana na hivyo, ana connection nyingi sana za advertisers. Kwahiyo linapokuja suala la deal la kupata matangazo, Gardner ni brand. Brand ya matangazo ndiyo inayohitajika kwenye media kwahiyo watu hawaoni taabu kutumia pesa kumvuta mtu kama Gardner. Hata Nyumbani Lounge wakati ule, kuna watu kibao walikuwa wanaenda kutokana na influence yake.
Hatuna uhakika