Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fresh sanaPoa poa pamoja mkuu tuko pamoja sana kamanda wangu joseverest
Sisi wa dar ndo wenye hela bana. Nyir mna jeuri ya soko?? Eti mnatuletea!! Umesikia dar tunaombaomba?huku hata mchicha au kisamvu ni hela tena ndefu tu. Nyir mikoani si mnaombana hadi chumvi? Au unadhani hatujui? Wengine huenda mbali mnaombana hadi mboga kabisa.Tusipo waletea tunavyoliwa wanaume wa kweli, mihogo, magimbi si mtaishia kulendemka kwa kunywa sijui maji ya madafu mara sijui vipweza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni dar pekeee ambapo mwanaume anamnunulia soda mwanaume mwenzake
Hii imenichekesha, mchana biskuti jioni chupa, kweli hatariWanaume wa dar achen ulaji wa bisukut sio mzur aisee
Yaani hilo la Scorpion ndio linalonifanya niwadharau sana wanaume wa Dar. Yaani Scorpion anampiga mtu anamburuza barabarani anamtoboa macho wao wapo pembeni wanaangalia na kula chips hakuna hata mmoja mwenye ubavu wa kumsaidia mhanga. Huku mikoani huo usenge hauwezi kufanyika lazima watajitokeza watu wa kusaidia kwa namna yoyote. Hiyo ndio tofauti ya wanaume wa Dar na mikoani.Wanaume wa dar bhana eti wanamuacha scorpion tena mmoja tu anatoboa mtu macho wao wakila chipsi na mashosti zao magengeni
Wanavaa mpaka bikini nn heleniIv kumbe wanavaaga had helen
Mnawafaidi na nn,wakati mnajibusti na vumbi la Congo?Wanaume wa mikoani bhana kujifanya mashababi kumbe hamna kitu pombe zimewamaliza kazi kutuomba hela za sigara na gongo kiukweli mnatusumbua sana tukija huko mikoani yaani mpaka kero na wake zenu ndo kabisaaa yaani vizinga haviishi na wakija huku mjini kusalimia hatuwaachi tunafidia malipo yaani wanaume wa mikoani tunawafaidi sana wake zenu wakija kusalimia kuna mmoja ananiambia najuta kuolewa mkoani
unataka waje "wazibitishe" sio?!Huu utan ni wa ngumi huu
Wanaume wa dar njoon mzibitishe
Hahaaaa sio kweli bhana siye mbona huwa hatuvai nguo za kidemuWanaume wa mikoani mnaboa sana tabia yenu tukija huko mnataka tuwaachie baadhi ya nguo au utaskia eti njoo na nguo ambazo hauzivai yaaan mnazingua sana vaeni matambara yenu tu
Wana uume wa miko one............................Wanaume wa dar achen ulaji wa bisukut sio mzur aisee
HApana mkuuNina mpango wa kwenda dar kutoka mkoani nikae kama mwaka mmoja ivi( kwa special issue)! Na mimi nitakua mwanaume wa dar? Maana kwa kweli sipendi ilo jina kabisaa[emoji16][emoji16]