Utani wa jad kati ya wanaume wa dar na wa mikoan sijui hata utaisha lini

Tusipo waletea tunavyoliwa wanaume wa kweli, mihogo, magimbi si mtaishia kulendemka kwa kunywa sijui maji ya madafu mara sijui vipweza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sisi wa dar ndo wenye hela bana. Nyir mna jeuri ya soko?? Eti mnatuletea!! Umesikia dar tunaombaomba?huku hata mchicha au kisamvu ni hela tena ndefu tu. Nyir mikoani si mnaombana hadi chumvi? Au unadhani hatujui? Wengine huenda mbali mnaombana hadi mboga kabisa.

Nyie endeleeni kulima mkivuna mnatutafuta wenyewe tena bila kinyongo. Japo kutwa kututusi ila umekiri mnaleta mihogo na magimbi. So story zenu peleka hukooo. Wahi kulala kesho uwahi shamba wenye hela tunasubiri mazao yenu
 
Waacheni wapumue hao wagombania dressing table na dada au wake zao
 
Wanaume wa dar bhana eti wanamuacha scorpion tena mmoja tu anatoboa mtu macho wao wakila chipsi na mashosti zao magengeni
Yaani hilo la Scorpion ndio linalonifanya niwadharau sana wanaume wa Dar. Yaani Scorpion anampiga mtu anamburuza barabarani anamtoboa macho wao wapo pembeni wanaangalia na kula chips hakuna hata mmoja mwenye ubavu wa kumsaidia mhanga. Huku mikoani huo usenge hauwezi kufanyika lazima watajitokeza watu wa kusaidia kwa namna yoyote. Hiyo ndio tofauti ya wanaume wa Dar na mikoani.
 
Wanaume wa mikoani bhana kujifanya mashababi kumbe hamna kitu pombe zimewamaliza kazi kutuomba hela za sigara na gongo kiukweli mnatusumbua sana tukija huko mikoani yaani mpaka kero na wake zenu ndo kabisaaa yaani vizinga haviishi na wakija huku mjini kusalimia hatuwaachi tunafidia malipo yaani wanaume wa mikoani tunawafaidi sana wake zenu wakija kusalimia kuna mmoja ananiambia najuta kuolewa mkoani
 
Wanaume wa Dar ni kama mademu tu ni kulialia tu kupambana hawajui
Wanaume wanalialia eti wamepigwa bila makosa na wanakubali huu sio uanaume huu
Mmoja akaleta uzi huku akilialia amepigwa yeye mama mkwe na mkewe bila kosa
Hii ni aibu kwa wanaume wa Dar unapigwa bila kosa mbele ya mkweo na mkeo
Halafu unajiita mwanaume
 
Mnawafaidi na nn,wakati mnajibusti na vumbi la Congo?
 
Kuna jamaa kila thread akichangia lazima usikie JOMONI iv anapatikana wilaya gani ya kipolisi pale?
 
Wanaume wa mikoani mnaboa sana tabia yenu tukija huko mnataka tuwaachie baadhi ya nguo au utaskia eti njoo na nguo ambazo hauzivai yaaan mnazingua sana vaeni matambara yenu tu
Hahaaaa sio kweli bhana siye mbona huwa hatuvai nguo za kidemu
 
Nina mpango wa kwenda dar kutoka mkoani nikae kama mwaka mmoja ivi( kwa special issue)! Na mimi nitakua mwanaume wa dar? Maana kwa kweli sipendi ilo jina kabisaa[emoji16][emoji16]
HApana mkuu
We utaendelea kuwa mwana uume wa mikoOne hata ukiwa dar..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…