Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetishaDownstairs Mimi ndo namuaminia zaidi[emoji23] [emoji23]
Nataka niende kwenye mnada wa Tanzanite kwa ajili yake mkuuJamani kapeace mbona mnamgombea ka mpira Wa kona[emoji23] [emoji23]
emmytaKama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
Aahh hata sio ukorofi namtania tu[emoji81][emoji81][emoji23][emoji23]😀😀😀😀😀😀 Nani kakufundisha ukorof.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ohooNa umejuaje kama hao wote ni wanawake?
Teh teh teh
carba ndio wake eeCarba huyooooo!