Utaoa yupi hapa!!

Utaoa yupi hapa!!

Nam mudu huyu mrembo ni vile tu bado hatujafika huko kwenye hicho kisiwa ukizungumziacho, afu mbona kama unanibania? Hahaaah au nichague mwingine?
Mkuu conflict of interest, hahaha ngoja tufike kisiwani!
 
FB_20171015_15_25_53_Saved_Picture.jpg

Huyu sasa.
 
Hivi unajua hata sikusoma thread inahusu nini nimekimbilia kwenye jina langu tu

Nimesoma nimejikuta nacheka tu

Tuletee interview bhana
Msimu Wa pumziko baby!
 
Naangalia kwa umakini nione nani atamshobokea mpendwa wangu!
 
Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)

Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
emmyta
 
Back
Top Bottom