Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mzee mzima mbona mshangaoAisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mzima mbona mshangaoAisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] motto wake mbona kisiwani nitapasahau.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] cc; carbamazepine
Watu wapo serious yeye analeta mbwembweserious acha utani, dj utani tena labda ww ndio huwa unatania
Aseeh kwa hiyo ana moto balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] motto wake mbona kisiwani nitapasahau.
Hatuwezi kupoteana wewe tenaAngalia tusipotee tu kisiwani
wa carba... kichwa kichafu amesemaMoto upi huo jose!
Ndivyo tulivyo mkuu[emoji23] [emoji23]
Hujamweka EVELYN SALT!Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
Ni mtoto kabisa yuleMama huyo Wa makamo ka 40 ila hazeeki!
Bisha sasa, Wacha watu tujiliee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Nabisha sio kwa maneno Yale!
Sitaki kuamini kama wewe ndio umeandika ujueKama ctakubaliwa na shunie
bhas ni ngeji uwatu
Mbitiyaza na beef lasagna,kwangu mitaala ndo kila kitu. Huyu mbitiyaza ni mtaalamu wa kupika ugali mgumu kwahio atakuwa mke mkubwa.Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa