Utaoa yupi hapa!!

Utaoa yupi hapa!!

Mod mbadlshien kapeace prof photo, muekeeni hii
c300018fb66e0c56c67867d702c6c85b.jpg
coz iliyopo inalevya,, [emoji23]
Hahaha na ndo siitowi
 
Tunataka sebene na ile mduara ya somo goma liko mukide kujifunzia mauno lile acha kabisa
Poa ngoja niweke fally ipupa then taarabu kisha ile bia zangu umekunywa soda umekunywa naulizaaa utatoa huitoiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu una hasira nao kweli ila ukionja ya joanah sidhani kama utamtoroka[emoji23] [emoji23]


Ina utamu gani hiyo ya Joanah, radha ni ile ile tu usidanganyike kihivyo mkuu. Pengie utamchapa huyo Joanah ukajalia mwenyewe kujiuliza kwa nini ulizama naye baada ya kuona kumbe hana radha yeyote kabeba handaki tu lililojaa maji.
 
Back
Top Bottom