Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si utambulisho rasmi wa website na mifumo ya serikali.
UTAPELI: Afisa elimu mkoa amewataka walimu wakuu kulipia mfumo huo ambao ni (mock.famnet.us) kisha kuweka matokeo ya mtihani wa MOCK baada ya kulipia.
Je, ikiwa kuna uhitaji huo kwanini eGA hawajahusishwa? Je TAMISEMI wana taarifa kuwa shule zimetakiwa kulipia mfumo huo?
NB: MALIPO YOTE HAYAPITII KWENYE CONTROL NUMBER
Je, huku ndiko kula kwa urefu wa kamba?