DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama chura mwenyewe anakesha kwenye kigodoro siku 3 uko kizimkazi. Kwa nn wafanyakazi wake wasipige pesa za watanganyika walala hoi. Lakini chura hana cha kupoteza akistaff anaenda kwao znz. KAZI kwa machogo muda huo nchi iko tupu namanisha wazi KABISA.chura YY Dalali wafanyakazi wake wezi.
ALL the best
 
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.

Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si utambulisho rasmi wa website na mifumo ya serikali.

UTAPELI: Afisa elimu mkoa amewataka walimu wakuu kulipia mfumo huo ambao ni (mock.famnet.us) kisha kuweka matokeo ya mtihani wa MOCK baada ya kulipia.

Je, ikiwa kuna uhitaji huo kwanini eGA hawajahusishwa? Je TAMISEMI wana taarifa kuwa shule zimetakiwa kulipia mfumo huo?

NB: MALIPO YOTE HAYAPITII KWENYE CONTROL NUMBER

Je, huku ndiko kula kwa urefu wa kamba?
MOROGORO NDIO MKOA UNAOONGOZA KWA RUSHWA,UPIGAJI NA UTENDAJI MBOVU TANZANIA NZIMA.
 
Back
Top Bottom