Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Propaganda zimeanza kufisha Joto la tozo za miamala.

Wanawajua watanzania ni vichwa maji tegemeeni matukio Kama haya zaidi na zaidi.
 
Hahaha hio ndio namna ya kuwatumia wajinga kuwa fursa
Akili kubwa
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
hata chanjo ya kidono panga hudunda lakini sindano hupita.
maana yake ni nini?? akili za waziri zilikuwa kijamii zaidi na si kikazi, wakati anadanganywa.

sasa wewe kapige simu umwambie unauza magari ya jeshi kutoka urusi, utajua hujui.
 
Hahah kama ni kweli basi mwamba ajengewe sanamu kubwa pale wizara ya ulinzi...

Kumuingiza mkenge waziri wa ulinzi kiurahisi hivyo si jambo la ki sport sport...

Na huyo waziri dah, unaingizwaje cha kike kirahisi hivyo ilihali wewe ni mtu waongoza wizara kubwa hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…