Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Ulishawahi kuonana nao katika nyanja zingine za maisha mbali na utapeli?Huwa nakutana nao ila nadhani ni mateja.. anakuonyesha simu nzuri halafu anakutajia bei chee.. huwa nawapita kama sijawaona vile..
Nina maanisha "formal education"Mkuu ainisha Aina za elimu na Maana zake kwanza.
Ngoja nikiwa na data bundle ya kutosha ninata-download na kutazama hiyo attachment yako mkuu.Sijui ndicho ulichokuwa unakimaanisha mtoa mada!?
Hapana..Ulishawahi kuonana nao katika nyanja zingine za maisha mbali na utapeli?
Sawa mkuu.Hapana..
Sawa mkuu...Usilinganishe elimu ya darasani na elimu ya mazingira, ni vitu viwili tofauti,
Ukisema hawafanyi vizuri unakuwa na maana gani?...Kwanza asilimia kubwa ya wanafunzi (watu) waliokuwa na akili sana darasani huwa hawafanyi vizuri kwenye maisha ya mitaani
Wajanja sana mtaani kivipi?...wale waliokuwa hawafanyi vizuri darasani huwa wajanja sana mitaani
Ma-professor sio matajiri wa kutupwa lakini wao ndio huwapangia hao matajiri wa kutupwa namna gani ya kutumia pesa zao kama vile viwango vya kodi wanavyopaswa kulipa serikalini...Jiulize kama elimu ya darasani ndio u-smart wa maisha unaouzungumzia, kwanini waliosoma sana mfano maproffesors wa uchumi sio matajiri wakutupwa?!
Tajiri wa kutupwa hawezi kuwa "Policy Maker" wa nchi kwa maana pesa anazo lakini hana utaalam...matajiri wakutupwa sio wasomi sana, mfano aliyekuwa Mkurugenzi wa IPP bwana mengi, Bakhresa, dewji, sio maproffesor kama kina lipumba, nk
Kusoma sana hakuna mbadala kama nchi inataka kusonga mbele...Hata wakina bill get, naaliyekuwa job Steve, mkuu wa amazon, nk sio wasomi kihivyo!
Ma-professors wengi ndio engine ya serikali na nchi kwa ujumla...Ukweli ni kwamba maproffesors wengi wanaishia kuajiriwa tu, wachache wanajiajiri, wale walioacha Chuo (shule) kama kina bill gets ndio wanaibuka matajiri,