Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Huwa nakutana nao ila nadhani ni mateja.. anakuonyesha simu nzuri halafu anakutajia bei chee.. huwa nawapita kama sijawaona vile..
Ulishawahi kuonana nao katika nyanja zingine za maisha mbali na utapeli?
 
Sijui ndicho ulichokuwa unakimaanisha mtoa mada!?
 
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
 
Ba mdogo shikamoo! 2000 me Nina miaka 4
 
Usilinganishe elimu ya darasani na elimu ya mazingira, ni vitu viwili tofauti,

Kwanza asilimia kubwa ya wanafunzi (watu) waliokuwa na akili sana darasani huwa hawafanyi vizuri kwenye maisha ya mitaani , na kinyume chake wale waliokuwa hawafanyi vizuri darasani huwa wajanja sana mitaani,

Jiulize kama elimu ya darasani ndio u-smart wa maisha unaouzungumzia, kwanini waliosoma sana mfano maproffesors wa uchumi sio matajiri wakutupwa?!

Badala yake wale matajiri wakutupwa sio wasomi sana, mfano aliyekuwa Mkurugenzi wa IPP bwana mengi, Bakhresa, dewji, sio maproffesor kama kina lipumba, nk

Hata wakina bill get, naaliyekuwa job Steve, mkuu wa amazon, nk sio wasomi kihivyo!

Ukweli ni kwamba maproffesors wengi wanaishia kuajiriwa tu, wachache wanajiajiri, wale walioacha Chuo (shule) kama kina bill gets ndio wanaibuka matajiri,

Elimu ya darasani ni tofauti sana na elimu ya mtaani
 
Magufuli aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini ulidhani anatania?
 
Jiulize kama elimu ya darasani ndio u-smart wa maisha unaouzungumzia, kwanini waliosoma sana mfano maproffesors wa uchumi sio matajiri wakutupwa?!
Ma-professor sio matajiri wa kutupwa lakini wao ndio huwapangia hao matajiri wa kutupwa namna gani ya kutumia pesa zao kama vile viwango vya kodi wanavyopaswa kulipa serikalini...
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
 
matajiri wakutupwa sio wasomi sana, mfano aliyekuwa Mkurugenzi wa IPP bwana mengi, Bakhresa, dewji, sio maproffesor kama kina lipumba, nk
Tajiri wa kutupwa hawezi kuwa "Policy Maker" wa nchi kwa maana pesa anazo lakini hana utaalam...
 
Ukweli ni kwamba maproffesors wengi wanaishia kuajiriwa tu, wachache wanajiajiri, wale walioacha Chuo (shule) kama kina bill gets ndio wanaibuka matajiri,
Ma-professors wengi ndio engine ya serikali na nchi kwa ujumla...
 
Rais Magufuli atatufikisha tu kama ndani ya miaka minne ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia USA.
 
Back
Top Bottom