Utapeli kwenye makanisa

Hiyo elimu ya kutapeliwa na manabii wa kileo ndio elimu mliyo nayo au unazungumza elimu ipi
 
Bila kusahau zaka, sadaka ya malimbuko, sadaka ya ujenzi, kumpa mchungaji mkono. Yaani unakuta mtu kabeba bahasha kama kumi zote zinadai sadaka na michango, hapo utakuta mchungaji anatembelea BMW, hammer, watoto wake wanasoma ulaya wakati waumini hawana ndoto hata ya kumiliki bajaj...mafundisho ya utoaji wa sadaka yanachukua zaidi ya saa moja huku mchungaji akihubiri kwa sauti ya kukwaruza hadi povu linamtoka...utasema koromeo linaweza kupasuka muda wowote..
 
Hiyo elimu ya kutapeliwa na manabii wa kileo ndio elimu mliyo nayo au unazungumza elimu ipi
Itakuwa ni ile ya kujitoa mhanga kwa kujilipua na mabomu ili ukapate zawadi ya mabikira 70 kule ahera, au nasema uwongo..
 
Au ile ya kuteka watoto na kuwapeleka porini kwenda kuwafundisha dini, rejea kule chibok nigeria..
We jamaa wala huna habar kinachoendelea duniani upo upo tu kila unachosoma kwenye gazeti unakiweka akilini
 
We jamaa wala huna habar kinachoendelea duniani upo upo tu kila unachosoma kwenye gazeti unakiweka akilini
Siku nyingine usiingilie mijadala inayohusu imani nyingine, utaumbuka....niishie hapa tu.
 
Kwa kweli tuombe Mungu awafungue watu wake ufahamu. Ni wizi wa mchana kweupe.
 
Wewe jiangalie mada inalenga wakristo, kwamba ni jinsi gani Wanapaswa kufuata maandiko ya biblia na si vinginevyo

Sasa unaleta tamaduni za kiarabu Ili iweje, anzisha uzi wako Ili uwajadili hao wasaudia siyo kwenye nyuzi za watu
 
Kwa kweli tuombe Mungu awafungue watu wake ufahamu. Ni wizi wa mchana kweupe.
"Tazama, hii ni mara ya tatu ya mimi kuwa tayari kuja kwenu, wala sitawalemea. Maana sivitafuti vitu vyenu, bali nawatafuta ninyi; maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto" Wakorintho 2: 12-14. Hili fundisho la Mtume Paulo lazima wafanye kama hawalioni, kama huna bahasha iliyonona lazima upate maombi ya rasha rasha...
 
Wanaokamatwa kwenye huo utapeli wala biblia hawajaisoma. Wanaibeba tu wakifika huko wanatajiwa aya halafu zinatafsiriwa kijanja kuhalalisha wizi wanapigwa
 
UISLAMU KUMEJAA PIA UTAPELI

MBONA SHARIFU MAJINI, NABII ILYAASA HAMUWAFANYI KITU

AU UNADHANI HATUUJUI UISLAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…