Utapeli kwenye makanisa

Utapeli kwenye makanisa

Mkuu, waislamu wana elimu gani kuzidi wakristo, hapa yanaongelewa makanisa siyo misikiti. Usije ukaharibu huu mjadala mkakimbilia kushika majambia kwamba dini ya mtume imekashfiwa...nafikiri huu mjadala unawahusu zaidi wanaofuata ukristo, ndo maana mleta bandiko amerejea vifungu na maandiko ambayo yamo kwenye biblia takatifu kukazia hoja yake, tafadhali sana..
Hiyo elimu ya kutapeliwa na manabii wa kileo ndio elimu mliyo nayo au unazungumza elimu ipi
 
Wanakuambia hawauzi. Wameyapa hayo malipo majina ya kuwapumbaza watu wasiojua maandiko. Yanaitwa sadaka, sadaka maalum, sadaka ya ukombozi, maagizo maalum n.k. Ni wizi ulio dhahiri na jwa sababu wamejificha kwenye kichaka cha dini wanaona hakuna wa kuwagusa.
Bila kusahau zaka, sadaka ya malimbuko, sadaka ya ujenzi, kumpa mchungaji mkono. Yaani unakuta mtu kabeba bahasha kama kumi zote zinadai sadaka na michango, hapo utakuta mchungaji anatembelea BMW, hammer, watoto wake wanasoma ulaya wakati waumini hawana ndoto hata ya kumiliki bajaj...mafundisho ya utoaji wa sadaka yanachukua zaidi ya saa moja huku mchungaji akihubiri kwa sauti ya kukwaruza hadi povu linamtoka...utasema koromeo linaweza kupasuka muda wowote..
 
Hiyo elimu ya kutapeliwa na manabii wa kileo ndio elimu mliyo nayo au unazungumza elimu ipi
Itakuwa ni ile ya kujitoa mhanga kwa kujilipua na mabomu ili ukapate zawadi ya mabikira 70 kule ahera, au nasema uwongo..
 
Au ile ya kuteka watoto na kuwapeleka porini kwenda kuwafundisha dini, rejea kule chibok nigeria..
We jamaa wala huna habar kinachoendelea duniani upo upo tu kila unachosoma kwenye gazeti unakiweka akilini
 
Siku nyingine usiingilie mijadala inayohusu imani nyingine, utaumbuka....niishie hapa tu.
 
Bila kusahau zaka, sadaka ya malimbuko, sadaka ya ujenzi, kumpa mchungaji mkono. Yaani unakuta mtu kabeba bahasha kama kumi zote zinadai sadaka na michango, hapo utakuta mchungaji anatembelea BMW, hammer, watoto wake wanasoma ulaya wakati waumini hawana ndoto hata ya kumiliki bajaj...mafundisho ya utoaji wa sadaka yanachukua zaidi ya saa moja huku mchungaji akihubiri kwa sauti ya kukwaruza hadi povu linamtoka...utasema koromeo linaweza kupasuka muda wowote..
Kwa kweli tuombe Mungu awafungue watu wake ufahamu. Ni wizi wa mchana kweupe.
 
Siku zote kufuata dini bila elimu ndio madhara yake hayo. Ukristo ni dini isiyo na elimu, hakuna msingi wowote mtu anapaswa asome ili afanye ibada yake ipasavyo. Ndio maana wanaishia kukufuru, kutapeliwa kirahisi kuliko dini/imani zingine ambazo ndani yake kusoma dini na kufanya ibada ni lazima. Alhamdulillah uislamu umetupilia mbali shuhba hizo na hata akijitokeza mjinga akajaribu kudanganya watu basi hupotea haraka maana baatwil haidumu. Karibu katika dini ya haki achaneni ni kufru hizo.
Wewe jiangalie mada inalenga wakristo, kwamba ni jinsi gani Wanapaswa kufuata maandiko ya biblia na si vinginevyo

Sasa unaleta tamaduni za kiarabu Ili iweje, anzisha uzi wako Ili uwajadili hao wasaudia siyo kwenye nyuzi za watu
 
Kwa kweli tuombe Mungu awafungue watu wake ufahamu. Ni wizi wa mchana kweupe.
"Tazama, hii ni mara ya tatu ya mimi kuwa tayari kuja kwenu, wala sitawalemea. Maana sivitafuti vitu vyenu, bali nawatafuta ninyi; maana haiwapasi watoto kuweka akiba kwa wazazi, bali wazazi kwa watoto" Wakorintho 2: 12-14. Hili fundisho la Mtume Paulo lazima wafanye kama hawalioni, kama huna bahasha iliyonona lazima upate maombi ya rasha rasha...
 
Wanaokamatwa kwenye huo utapeli wala biblia hawajaisoma. Wanaibeba tu wakifika huko wanatajiwa aya halafu zinatafsiriwa kijanja kuhalalisha wizi wanapigwa
 
Siku zote kufuata dini bila elimu ndio madhara yake hayo. Ukristo ni dini isiyo na elimu, hakuna msingi wowote mtu anapaswa asome ili afanye ibada yake ipasavyo. Ndio maana wanaishia kukufuru, kutapeliwa kirahisi kuliko dini/imani zingine ambazo ndani yake kusoma dini na kufanya ibada ni lazima. Alhamdulillah uislamu umetupilia mbali shuhba hizo na hata akijitokeza mjinga akajaribu kudanganya watu basi hupotea haraka maana baatwil haidumu. Karibu katika dini ya haki achaneni ni kufru hizo.
UISLAMU KUMEJAA PIA UTAPELI

MBONA SHARIFU MAJINI, NABII ILYAASA HAMUWAFANYI KITU

AU UNADHANI HATUUJUI UISLAMU
 
Back
Top Bottom