je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Hiyo elimu ya kutapeliwa na manabii wa kileo ndio elimu mliyo nayo au unazungumza elimu ipiMkuu, waislamu wana elimu gani kuzidi wakristo, hapa yanaongelewa makanisa siyo misikiti. Usije ukaharibu huu mjadala mkakimbilia kushika majambia kwamba dini ya mtume imekashfiwa...nafikiri huu mjadala unawahusu zaidi wanaofuata ukristo, ndo maana mleta bandiko amerejea vifungu na maandiko ambayo yamo kwenye biblia takatifu kukazia hoja yake, tafadhali sana..