mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Wakuu hivi tuseme hizi media zimeishiwa mbinu za kutafuta pesa au wanA wawezesha wasikilizaji?
Kumekuwa na mchezo mmoja saizi naona unasambaa kwenye kila redio.
Unakuta watangazaji wanasema tuma kiasi fulani ujishindie kiasi fulani.
Na ni kwa kila kipindi husika je huu sio utapeli kama serikali inapinga watu kutapeliwa kwenye simu. Sasa kwanini inaruhusu hizi media ziwatapeli watu.
Nb wamiliki wa media kama mnaona mnashindwa kuendesha matangazo yenu bora muombe msaada kama ifanyavyo redio maria kumchangia bikira maria (kapu la mama maria)
Kulikoni hiki mnachofanya kama inashindikana kwakuwa serikali inachukua kodi basi hata wale wa TUMA KWA NAMBA HIYi waingizwe kwenye system tupate kodi toka kwao mnawazuia vipi tena kwa kututumia sms kwenye simu zetu yakuwa ukiona dalili za utapeli tuma namba hiyi sijui 15 napng ngp sasa kuna haja gani
Haiwezekani mtu una mshawishi tuma buku ushinde laki 5 pasipo mchezo wowote kuendelea kwenye hiyo buku yako huu ni wizi ni utapeli mara mia wangeambiwa tuma buku ujibu maswali ujishindie laki tano
Lakini sio tuma buku kwenye namba hiy ushinde laki tano na tena redioni wanasikiliza kila rika tunakifunza nini kizazi chetu
AU wanakuu mnasemaje,? Kwenye hili
Au tutoe taarifa za utapeli kwenye hiyo namba ya kuwa redio fulani inatutapeli ????