Utapeli Pari match bet

Joined
Oct 14, 2013
Posts
52
Reaction score
25
Wana JamiiForums

Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani una account ngapi?
 
Sawa sawa mkuu nitalifanyia kazi pamoja nakuwa nipo arusha naomba unisaidie utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uhuni huu, nenda ofisini kwao wakikataa kawashitaki kwa mamlaka ya bahati nasibu
 
Account zaidi ya moja inahusika vipi nenda kakalamike katika bodi ya michezo ya kubahatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyoo... uliweka ngapi hadi ukawapiga pesa yote hiyo?? Pambana aisee hadi walipe mpunga wako...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…