robertjackline
Member
- Oct 14, 2013
- 52
- 25
Wana JamiiForums
Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app