namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Siwaga wanafungia nyimbo za wasanii bc wakaikamate na hiyo beting officeEti BASATA!
Aibu.
Duh WA-TZ BHUAAANAA, BASATA TENAAAAA!!!!!!!!Siwaga wanafungia nyimbo za wasanii bc wakaikamate na hiyo beting office
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarimba hayupo tena Bodi ya Kamari.Nenda Kwenye Bodi Ya Bahati Na Sibu Ukaonane Na Abas Tarimba Nakuhakikishia Kesho Tu Wanakulipa
Hapana wanashinda njaajamani hivi hii michezo watu uwa wanashinda?
Basata inahusika nini na betting wewe kilaza?Siwaga wanafungia nyimbo za wasanii bc wakaikamate na hiyo beting office
Sent using Jamii Forums mobile app
Sportpesa Kenya mzigo umefikia TZS billion 3 almost na bado unasonga tu, Ila naupa wiki chache mzigo unachukuliwa huoSipati picha yale mamilioni ya Jackport- Sport Pesa (TZS 494,275,700) mtu anakuja kuyaotea, sijui watanza visingizio!
Halafu naona, kama umeamua kubeti inabidi hata laini ya simu iwe na taarifa zako sahihi. Maana unaweza kuwapiga mamilioni wanakwambia lete kitambulisho, halafu jina la usajili wa laini ni tofauti na kitambulisho! Wanasema siyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wambie unakuja Dar na mwanasheria ..itabidi wakulipe hela ya mwanasheria na gharama za kuja far ma ndege..all cost to be paid...kuwa serious..wambie unakuja dar na mwanasheria..ili wakulipe hela yote ma milion 6 za asumbufuUhuni huu, nenda ofisini kwao wakikataa kawashitaki kwa mamlaka ya bahati nasibu
Usiende kwao..maana washashindwa kukulipa..screenshot chat zao na zako kisha nenda directly bodi ya bahati na sibuNenda Kwenye Bodi Ya Bahati Na Sibu Ukaonane Na Abas Tarimba Nakuhakikishia Kesho Tu Wanakulipa
Nipeni tips namm nishindeUsiende kwao..maana washashindwa kukulipa..screenshot chat zao na zako kisha nenda directly bodi ya bahati na sibu
Pia utadai wakulipe gharama ya usumbufu wa kuja Dar..mkuu mark my wordutalipwa hela yote na ya usumbufu juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafanya hivyo ndugu asanteni kwa ushauriUsiende kwao..maana washashindwa kukulipa..screenshot chat zao na zako kisha nenda directly bodi ya bahati na sibu
Pia utadai wakulipe gharama ya usumbufu wa kuja Dar..mkuu mark my wordutalipwa hela yote na ya usumbufu juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Du! Ni hatari!Sportpesa Kenya mzigo umefikia TZS billion 3 almost na bado unasonga tu, Ila naupa wiki chache mzigo unachukuliwa huo
Sent using Jamii Forums mobile app
robertjackline tatizo lako limeishaje tunaomba feedbackWana JamiiForums
Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri
View attachment 1015137
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ndugu niliwasiliana na gbt wameniambia wanalifanyia kazi lakin pia siku chache zijazo naelekea dar nikalifatilie kwa karibu zaidirobertjackline tatizo lako limeishaje tunaomba feedback
Dah yani inatia hasira sana yani kwa jinsi tunavyoliwa alafu itokee tatizo kama hilo inatia hasira sanaBado ndugu niliwasiliana na gbt wameniambia wanalifanyia kazi lakin pia siku chache zijazo naelekea dar nikalifatilie kwa karibu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah yani inatia hasira sana yani kwa jinsi tunavyoliwa alafu itokee tatizo kama hilo inatia hasira sana
Alaf inatakiwa uwaambie ulipoteza laini uliyofungulia acc ndo maana ukafungua acc mpya
Tatizo 1xbet mfumo wakulipa ni mgumu ndugu,au wewe unalipaje?Mm nishaachana na makampuni ya Tanzania Tangu nilipodeposit 500k premier bet Mzigo ulikatwa mpesa ila kwenye account premier haujaingia, nikipiga cm premier bet na kutuma ile sms nazungushwa tu. Nikaona bongo ungese tu. kiufupi ukiondoa 1xbet kampuni nyingi Tanzania zipo kutuibia tu.