Utapeli Pari match bet

Utapeli Pari match bet

Sipati picha yale mamilioni ya Jackport- Sport Pesa (TZS 494,275,700) mtu anakuja kuyaotea, sijui watanza visingizio!

Halafu naona, kama umeamua kubeti inabidi hata laini ya simu iwe na taarifa zako sahihi. Maana unaweza kuwapiga mamilioni wanakwambia lete kitambulisho, halafu jina la usajili wa laini ni tofauti na kitambulisho! Wanasema siyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sportpesa Kenya mzigo umefikia TZS billion 3 almost na bado unasonga tu, Ila naupa wiki chache mzigo unachukuliwa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuni huu, nenda ofisini kwao wakikataa kawashitaki kwa mamlaka ya bahati nasibu
Tena wambie unakuja Dar na mwanasheria ..itabidi wakulipe hela ya mwanasheria na gharama za kuja far ma ndege..all cost to be paid...kuwa serious..wambie unakuja dar na mwanasheria..ili wakulipe hela yote ma milion 6 za asumbufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Kwenye Bodi Ya Bahati Na Sibu Ukaonane Na Abas Tarimba Nakuhakikishia Kesho Tu Wanakulipa
Usiende kwao..maana washashindwa kukulipa..screenshot chat zao na zako kisha nenda directly bodi ya bahati na sibu

Pia utadai wakulipe gharama ya usumbufu wa kuja Dar..mkuu mark my wordutalipwa hela yote na ya usumbufu juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JamiiForums

Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri

View attachment 1015137

Sent using Jamii Forums mobile app
robertjackline tatizo lako limeishaje tunaomba feedback
 
Bado ndugu niliwasiliana na gbt wameniambia wanalifanyia kazi lakin pia siku chache zijazo naelekea dar nikalifatilie kwa karibu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah yani inatia hasira sana yani kwa jinsi tunavyoliwa alafu itokee tatizo kama hilo inatia hasira sana

Alaf inatakiwa uwaambie ulipoteza laini uliyofungulia acc ndo maana ukafungua acc mpya
 
Mm nishaachana na makampuni ya Tanzania Tangu nilipodeposit 500k premier bet Mzigo ulikatwa mpesa ila kwenye account premier haujaingia, nikipiga cm premier bet na kutuma ile sms nazungushwa tu. Nikaona bongo ungese tu. kiufupi ukiondoa 1xbet kampuni nyingi Tanzania zipo kutuibia tu.
 
Mm nishaachana na makampuni ya Tanzania Tangu nilipodeposit 500k premier bet Mzigo ulikatwa mpesa ila kwenye account premier haujaingia, nikipiga cm premier bet na kutuma ile sms nazungushwa tu. Nikaona bongo ungese tu. kiufupi ukiondoa 1xbet kampuni nyingi Tanzania zipo kutuibia tu.
Tatizo 1xbet mfumo wakulipa ni mgumu ndugu,au wewe unalipaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom