Utapeli Pari match bet

Namm wamenifanyia huo ujinga sijapata pesa yangu milion moja kwa 30000
 
Kampuni gani nyingine zina utapeli kama huu wa parimatch tutemane nao!

Sent using Jamii Forums mobile app

mbeti hawa wana utapeli wa wazi kabisa.
nili cheza parfect 12 nika pata timu 10 na wakati huo huo wana tangaza kila siku ukifikisha timu 9,10 na 11 mta ingia kwenye bonus kama mkipatikana.nilibakia kupewa majibu ya magazijuto wakati maelezo yana sema hivo mpaka mkeka kwenya apps yao wakafuta
 
Type mrejesho ili kama ikiwezekana mm niwakimbie
 
naunga mkono hoja za wadau wengine

komaa nao mkuu hadi wakulipe
 
Hawa Parimatch ni **** sana.. Mimi mwenyewe niliwala kama laki3 tu natoa wanaanza kudai vitambulisho k****** zao hawa mbwa
 
Nikwambie kitu,
Kwenye makampuni ya kimataifa, moja ya sababu zinazoweza kupelekea kufungiwa akaunti yako, kuzuiwa kutoa pesa au kufutwa kabisa ni;
1. Kumiliki akaunti 2 au zaidi. (wanakurecord kama bonus abuser) kitu ambacho ni kosa.
2. Akaunti yako ina record ya kuwatia hasara sana wao (hapa hawatafunga, ila utakuwa limited kwenye masoko yako na stake, yaani watakupangia kiasi cha kubeti kidogo sana tofauti na wengine.
3. Arbitrage. Hii maana yake unatumia udhaifu wa odds kujinufaisha kwa kuweka bet 2 kinzani kabisa kwenye event moja kwa lengo la kupata faida tu na si hasara baada ya kupiga hesabu, kivipi? Kuna mechi let say ya Azam na Simba na odds zipo hivi;
Az 3.80 X 2.50 Sim 2.20.
Ninachofanya hapo nachukua laki nampa Azam na ikitiki faida ni 180,000
Nachukua laki nyingine nampa simba na ikitiki faida ni 20,000.
Kwa hiyo hapo tumebet kwa laki 2 jumla, na faida itakuwa hivi
Home win=faida 80,000, away win = faida 20,000. Ikitokea draw ndio unapata hasara.
Akaunti yako ikiwa na record ya kula kw
 
Hawa Parimatch ni ** sana.. Mimi mwenyewe niliwala kama laki3 tu natoa wanaanza kudai vitambulisho k**** zao hawa mbwa
Hapo kwenye nyota nyota nimeweka majibu yangu na imeshuka vizuri sana.
 
kule chapu hawawazigi
Makampuni yangu ni betpawa na sportpesa tu,niliwahi kula hela haifiki hata laki nilizungushana na betika wiki nzima ,halafu wasumbufu kila kukiwa na mechi Kali wanapigia watu simu kukumbusha kumbe matapeli sana
 
Vp mdau ulifanikiwa kupata ela yako
 
kwa case ya account 2, kuna. jamaa juzi kati amekula milioni 38, 22bet wakamzingua kwa kigezo hicho waka mzima pesa yake nafikiri tuachane. na kampuni za Kiswahili hizi zimejaa uhuni, yaani milion 3 wanakuzima wajinga sana hao
 
kwa case ya account 2, kuna. jamaa juzi kati amekula milioni 38, 22bet wakamzingua kwa kigezo hicho waka mzima pesa yake nafikiri tuachane. na kampuni za Kiswahili hizi zimejaa uhuni, yaani milion 3 wanakuzima wajinga sana hao
22bet ipo bongo ina tumia domain ya bongo mshauri aenda ofisi Za kamari atasaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…