Nikwambie kitu,
Kwenye makampuni ya kimataifa, moja ya sababu zinazoweza kupelekea kufungiwa akaunti yako, kuzuiwa kutoa pesa au kufutwa kabisa ni;
1. Kumiliki akaunti 2 au zaidi. (wanakurecord kama bonus abuser) kitu ambacho ni kosa.
2. Akaunti yako ina record ya kuwatia hasara sana wao (hapa hawatafunga, ila utakuwa limited kwenye masoko yako na stake, yaani watakupangia kiasi cha kubeti kidogo sana tofauti na wengine.
3. Arbitrage. Hii maana yake unatumia udhaifu wa odds kujinufaisha kwa kuweka bet 2 kinzani kabisa kwenye event moja kwa lengo la kupata faida tu na si hasara baada ya kupiga hesabu, kivipi? Kuna mechi let say ya Azam na Simba na odds zipo hivi;
Az 3.80 X 2.50 Sim 2.20.
Ninachofanya hapo nachukua laki nampa Azam na ikitiki faida ni 180,000
Nachukua laki nyingine nampa simba na ikitiki faida ni 20,000.
Kwa hiyo hapo tumebet kwa laki 2 jumla, na faida itakuwa hivi
Home win=faida 80,000, away win = faida 20,000. Ikitokea draw ndio unapata hasara.
Akaunti yako ikiwa na record ya kula kw