Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Hivi kwa nini watu hawanashindwa kuelewa pyramid scam business.

Au ccm ni muhusika mkubwa ndani ya serikali.

Maana kuna vitu ambavyo hata ccm naweza kusema vinahusika ndani ya nchi sababu ni serikali.
Ndugu yangu,
Hakuna kitu kibaya kama UMASIKINI uchanganye na UJINGA. Huu mchanganyiko huwa ni hatari sana mtu anakua yupo tayari kufanya chochote akiamini kitampa pesa.

Nimemkumbuka mzee mmoja alikua anafanya kazi na ndugu yangu ofis moja, huyu mzee niliambiwa tangu akiwa kijana amekua akicheza michezo ile ya kubahatisha, bahati nasibu zile, betting nk. Yaani ukiongea nae alikuwa ana amini kabisa kwamba kuna siku atapiga hela ndefu awe tajiri mkubwa! Masikini mpaka anastaafu hakuwahi kushinda chochote aliishia kurudi kijijini akiwa fukara wa kutupwa. Sijui kama bado yupo hai mpaka leo.
 
Inasikitisha sana
 
Kuna muda naweza kuwa nafikilia je wakina active au wakina paw na moderate wote hivi hawawezi kuwa I'd kama zetu wakaanzisha nyuzi, Huwa nawaza sana kwakweli mambo haya ni magumu sana 🤔
 
Last week kuna mtu tunaheshimiana sana na niseme tu ni mtu wa maana kanipigia simu ananiambia hizo ishu sijui ye kaweka milioni na sasa ana faida ya sijui milioni ngapi bla bla bla mara hawaruhusu kutoa pesa wanataka ikae ndio upate faida "hawaruhusu" "wanataka" kina nani hao?????

Basi tu tunaheshimiana sana nilimjibu kistaarabu kuwa nitakucheki unielekeze vizuri hiyo biashara.

Ila kichwani nshajua tu ni utapeli
 
Snuff inahela sana watu hawajui tu Mimi nauza ugoro wa kimasai naagiza hapo Dodoma nikichanganya na maji ya mwarobaini natoa kitu konk wiki tu mzigo umeisha🤣
Af juzi wakakucheka na itel yako kumbe jamaa unapiga pesa zako kimya kimya ndivyo inavyo takiwa boss
 
Back
Top Bottom