Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
- Thread starter
-
- #221
Take it easy mkuu, hupaswi kuuliza kwa kumtilia mashaka mtu kama bado hujatumia njia ya kidiplomasia, ni vyema ungemwambia " mkuu unapiga pips ngap kwa siku, tupia na kapicha mkuu pips ulizopiga hadi sasa kama hutamind😉😉"Lies. Jibu pips ngapi sio tzs ngapi.
Jamaa acha uongo wewe ...Duh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,
Hapo katika makundi matatu; niliyoweka, Trader; Information Seller; na Money Funds Manager nimetoa mifano mitatu tu (wote wapo kwenye industry moja) ambayo hao wawili hawana risk ya kupoteza funds zao.., sasa kama tunataka kusema risks zote zinalingana naona hapa tunapotezeana muda...
Mkuu tatizo lako narudia tena hujui fundamentals za kitu unachokiongeaUnaposema risky business sio ya kushauriwa ,ni biashara ipi sio ya risk ???
Hivi unajua risky ya biashara ya usafishaji wa abiria kwa ndege na watu wanashauriwa na kufanya ....
Hakuna biashara yenye risk kama hiyo ila watu wanafanya... Hivi unajua ile dege la air Ethiopia limeisababishia hasara ngapi Boeing??? Ina maana Boeing wasitishe biashara ?
Hakuna biashara usio risky na risk ya biashara haikufanyi kuacha kumshauri mtu asifanye ... Huo ni uongo jamaa yangu ...
Narudia tena Forex like any other business INA faida na hasara .. Jitahidi uwe upande wa faida ..
Hahahaha labda unanijua Leo , wewe sio wa kwanza kuuliza hili swali ... Wameshauliza wengi hayo maswali tukaweka mpaka account zetu za mt4...Great, ka vp tuwekee na vipicha vya kishkaji tuone unavyobangua forex
January ilikuaje kwako kwenye forex?🙂🙂
Kwani nimeuliza pips ???Lies. Jibu pips ngapi sio tzs ngapi.
mkuu kwa uelewa wangu mtu ambaye amejihusisha na biashara husika ana uwanja mzuri zaidi wa kusema na kuchambua uhalisia wa biashara yenyewe,ugumu wake , na njia gani ambazo unaweza kusurive kwenye biashara husika endapo utazifuata ipasavyo.Sasa mkuu na wewe unanipotezea muda wangu..., hivi faida ya mimi kukujua wewe unafanya nini au mimi ni nani na nimefanya nini na wapi inaingiliana vipi na kinachofanyika au ukweli unaosemwa ?, Kwahio George Solos akiongea pumba sababu ni Trader mkubwa tuchukulie alichokiongea au alichokifanya..., Haya mambo ya kutegemea mtu sababu kafanya nini basi ndio anachokwambia ni sahihi ndio inapelekea wengi kuumia kwenye hizi recruiting businesses , Mimi nilidhani hapa tunaongelea Forex..., kumbe ni uzi wa kujuana ?
Chicken Without HeadMkuu tatizo lako narudia tena hujui fundamentals za kitu unachokiongea
Boeing biashara yao ni kitu gani ? Na kusafirisha abiria ni biashara ya aina gani?
Moja hata kama kampuni ya ndege ikiwa haipati faida bado kuna umuhimu wa kutoa service ya usafirishaji hence kuna kampuni zinaweza kulipwa subsidy na nchi husika ili ziendelee kutoa huduma hata kama sio money making..
Boeing ni kampuni ya kutengeneza ndege worldwide katika innovation wanaweza wakafanya makosa na hapo kitakachowatokea ni either kupoteza uaminifu kwa wateja na kupunguza wateja pia na kulimwa faini ya makosa hayo (mara nyingi hizo fine ni within their capability sababu mwisho wa siku Kampuni kama hio kufa ni pigo kwa jamii inayoizungaka kampuni mpaka uchumi wa nchi
Risk hazipo sawa huwezi kusema mtegua mabomu ana risk sawa na mtembea kwa miguu sababu wote wanaweza kufa huyu kwa kugongwa na gari na huyu kwa kulipuliwa..., ndio maana nasema tuongelee fundamentals na issues nimetoa mifano hapo; muuza systems na vitabu na kufundisha watu; money manager wa funds za watu, na trader anayetumia his own money kama unaona hao wote wana risk sawa, naona hapa napoteza nguvu zangu bure...
nakuacha na hii qoute ya Obama......
"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.
"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
Mkuu narudia tena fundamentals.., fundamentals...., fundamentals elewa ninachokiongea..Jamaa acha uongo wewe ...
Hakuna biashara isiyokuwa na multiple areas... Hata biashara ya Kuku kuna wanauza dawa za Kuku, wauza chakula cha Kuku , wauza Nyama ya Kuku , wauza utumbo wa Kuku , wauza miguu ya Kuku , wauza vichaa vya Kuku n.k .. Ila Kuku huyo huyo mmoja ...
Same to forex kuna retail traders , kuna information sellers , kuna software makers na account managers ili mradi kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake ...
Haimaanishi uwepo wa mgawanyo huo unaashiria risk kuwa kubwa au mdogo ... Unaposema software makers hawana risk kubwa kwasababu wanauza programs .. Wewe ni Muongo Tena Mkubwa..
Sikia hii metaquote ambao ndio watengenezaji wa Metatrader4 na 5 ... Unajua baada ya kutengeneza meta trader 5 brokers wengi wamegoma kuhamia huko kwenye mt5 kwasababu gani?? Na kwanini wanaendelea kutumia mt4 ... Ingia google usome ..
risk maana yake nini ? Sio lazima utembee kwenye moto ili kujua madhara yake....., na kulinganisha risks moja na nyingine zinapimwa kwa percentage..., na percentage hizo zinategemea kupata na kupoteza.., hata hapa ungekuwa unaongea na Gwiji duniani wa Forex na akasema haina risky haibadilishi riskness involved; na watu kupata au kukosa kwenye biashara husika hakubadilishi uhatari au unafuu wa biashara..., nyumba mbili moja imejengwa kwenye mabonde ambayo muda wowote inaweza kusombwa na mafuriko huwezi ukasema ni sawa na iliyopo mlimani sababu na yenyewe inaweza ikapigwa radi.. Hata ukienda leo kwa financial advisor wako atakupa list ya low risk investments....(na zinaitwa low sababu kuna medium na high risk)mkuu kwa uelewa wangu mtu ambaye amejihusisha na biashara husika ana uwanja mzuri zaidi wa kusema na kuchambua uhalisia wa biashara yenyewe,ugumu wake , na njia gani ambazo unaweza kusurive kwenye biashara husika endapo utazifuata ipasavyo.
Sasa mkuu labda huenda wengine wanajua tu kwamaba forex ina risk kubwa sana lakini hajawahi hata kubonya kitufe cha sell ili kujua mamabo yanakuaje ukiwa kwenye position na hela yako husika .
bila shaka mtu kama hajawahi fanya forex sidhani kama anaweza akatoa ushuhuda yakinifu kwa kitu amabcho anaishia kusoma tu mistrari kadhaa google kwamba it too risk
Mhh sijawaelewa wanaoendelea kucheza huo mchezo ni kukosa maarifa ya kufanya kazi zingine mpaka wanaamua kumchangia mtu mmoja tuu...
ila angalau umejifunza kuna watu mpk leo pamoja & ushahidi wote huu bado hawataki kuelewa
Yule dogo mfupi.haha pole sana ..namuangaliaga tu na inspiration zake feki feki tu instagram ..anawapiga halafu anaenda kuzitumbua hela kwenye mahoteli ya nyota tano
Mwanaume Wa Dar huyo [emoji1] [emoji1]Acha ushamba wewe. Vijana wanaendesha maisha yao kupitia forex mie mmojawapo.
Kalabaho na ujinga wako.
Forex Trading is all about Fundamentals, Tachnical and Sentiments.Hapa naona tunazunguka tu mkuu nikuulize swali hizo strategy zako zinaweza kuwa computerized na ku-detect chochote kile ambacho wewe unakiona ila yenyewe ikakifanya kwa dakika chache na ku-capitalize ? yaani kuuza au kununua kwa haraka kabla trend haijaswing the other way ? (na hapa point kubwa kuna risk involved kupata au kukosa no matter wewe ni mtu au mashine) kabla ya yote lazima tujue kwanini forex inaweza ikaswing...; na sababu ni market psychology, political developments na uchumi wa nchi..., kwahio kuna risk involved..
Muuza vitabu, systems au mtoa darasa yeye hana risk involved..
Na Hedge maana yake tu ni kwamba "a way of protecting oneself against financial loss or other adverse circumstances" kwahio mwisho wa siku mtu unakuwa umejiprotect na kama unamanage pesa za watu Hedge Fund ikipata hasara mwisho wa siku ni other peoples money sababu in essence mkataba ni kukuzalishia mgawane faida sio mgawane hasara..., (ndio maana issue ya hedge funds kuingia hapa ni baada ya kutoa mfano wa watu wanaotrade na other peoples money with zero risk kwao, nikatoa mfano how hedge funds make their money)..., na Hasara kubwa ya Hedge Funds ni kupoteza business kama hakuna returns kwa wateja mwisho wa siku watakukimbia thats why they always hedge their portifolio kupunguza risks
KUNA MFANYAKAZI MWENZANGU TUPO OFISI MOJA ALISHANISHAWISHI HADI TUKAGOMBANA NILIGOMA AISEE
yes kabisa risk yake ni kubwa sana endapo utatrade bila kuzingatia kiasi gani utapoteza kwa kila trade unapoingia kwenye position. mhimu risk management izangatiwe good entry na emotional uwe balance bila shaka mambo yaweza kusonga taratiburisk maana yake nini ? Sio lazima utembee kwenye moto ili kujua madhara yake....., na kulinganisha risks moja na nyingine zinapimwa kwa percentage..., na percentage hizo zinategemea kupata na kupoteza.., hata hapa ungekuwa unaongea na Gwiji duniani wa Forex na akasema haina risky haibadilishi riskness involved; na watu kupata au kukosa kwenye biashara husika hakubadilishi uhatari au unafuu wa biashara..., nyumba mbili moja imejengwa kwenye mabonde ambayo muda wowote inaweza kusombwa na mafuriko huwezi ukasema ni sawa na iliyopo mlimani sababu na yenyewe inaweza ikapigwa radi.. Hata ukienda leo kwa financial advisor wako atakupa list ya low risk investments....(na zinaitwa low sababu kuna medium na high risk)
So many loosers, muchknows and dunderheads in this thread.Boss hujui unachokiongelea. Alafu nimegundua kitu kwenye hii thread traders wanaopiga hela hawafiki watano. Wengi wamejaribu wamelose wameacha wamebaki kuongelea vitu wasivyovijua na wengine hata kuclick tu sell or buy hawajawahi.
Hahahaha labda unanijua Leo , wewe sio wa kwanza kuuliza hili swali ... Wameshauliza wengi hayo maswali tukaweka mpaka account zetu za mt4...
Tafuta nyuzi za forex humu utaona hizo evidence .
About January , Nilikuwa Japanese Yen Crush .. Pesa ya mjapani ilidondoka .. Ila imesharudi na kupita ilipokuwa tangu mwezi March .. So for swinger haikuwa na impact yoyote ...
NB: Mimi mwezi wa 12 huwa sitrade sana maana nchi nyingi huwa financial institutions nyingi zinakuwa Likizo hivyo soko linakuwa kwenye slow movement so hata mwezi January nilikuwa sokoni kwa kiwango kidogo sana
huyu jamaa alisababishaga nikajoin forex but niliweka $10 nikapata profit ya $7 nikasepa mpaka leo