Endelea kuongea shits ... Huko south Africa mtu katoa dola 500 mpaka 150,000 ndani ya wiki chini ya tatu ....
Nimesoma andiko laki hakuna cha maana unachosema. Eti unasema Forex iko programmed ... Yaani currency ya nchi iko programmed hahahaha hiki kitu ndio nimesikia kwako ... Hakuna hela duniani ina move kwa kuwa programmed labda hela ya mbinguni ... Ingekuwa m hivyo tungeiprogram hela yetu ya shilling isiendelee kushuka ...
Ulivyoandika MTU akipitia juu juu unawezadhani kuna la maana ila ukikaa chini na kutafakari ulichoandika unagundua kuna magap mengi ...
View attachment 1094320