Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Umewahi ku trade mkuu?? forex au stock?? kuna jambo naona kama unapotea ama unavyo eleza haliko hivyoHapa naona tunazunguka tu mkuu nikuulize swali hizo strategy zako zinaweza kuwa computerized na ku-detect chochote kile ambacho wewe unakiona ila yenyewe ikakifanya kwa dakika chache na ku-capitalize ? yaani kuuza au kununua kwa haraka kabla trend haijaswing the other way ? (na hapa point kubwa kuna risk involved kupata au kukosa no matter wewe ni mtu au mashine) kabla ya yote lazima tujue kwanini forex inaweza ikaswing...; na sababu ni market psychology, political developments na uchumi wa nchi..., kwahio kuna risk involved..
Muuza vitabu, systems au mtoa darasa yeye hana risk involved..
Na Hedge maana yake tu ni kwamba "a way of protecting oneself against financial loss or other adverse circumstances" kwahio mwisho wa siku mtu unakuwa umejiprotect na kama unamanage pesa za watu Hedge Fund ikipata hasara mwisho wa siku ni other peoples money sababu in essence mkataba ni kukuzalishia mgawane faida sio mgawane hasara..., (ndio maana issue ya hedge funds kuingia hapa ni baada ya kutoa mfano wa watu wanaotrade na other peoples money with zero risk kwao, nikatoa mfano how hedge funds make their money)..., na Hasara kubwa ya Hedge Funds ni kupoteza business kama hakuna returns kwa wateja mwisho wa siku watakukimbia thats why they always hedge their portifolio kupunguza risks
Forex or stock market haiko kama unavyo dhani wewe, kwamba kuna setup moja ambayo wote mnakodolea macho hiyo hiyo atakae wahi kuingia ndie atakae faidi, hakuna kitu kama hicho... pale ambapo setup yako wewe imekubali, mwingine ndio ana exit hapo, mwingine yuko katikat ya trade yake mwingne katungulia masaa mawil etc.
hakunaga kitu kinacho itwa kuwah wala kuchelewa kwa mantiki unayo eleza wewe, kuwahi au kuchelewa ni pale tu setup itakapokua haijakamilika ukaingia au unachelewa ukata imepita.. lakn pia swala la trade ku swing the other way sio swala la kufumba na kufumbua, na swala linalochukua masaa au siku hate weeks