UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Utapeli wa mchana kweupe
 
Kwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....
Kwa hali hiyo na imani account yako inachezea million 100 kasoro mkuu.

Nakumbuka ulianza ku trade mwaka 2017 boss.
 
Mkuu na wewe ynamuamini mnisithe kupitia huyo dogo eti katoa 500$ to 150000 chini ya 3 weeks? Hata kama ni kweli unafikiri huyo ni trader mzuri wa kumtolea mfano? Vipi kwa mtindo huo anaweza kusurvive in long-term? Je unadhani hiyo staili ni sahihi kwa kutrade forex? Huoni kama jamaa anavuta watu kwenye training zake??
 
Hold on
 
Utanipa wewe laki 4??? Embu acha masikhara aisee..

Na sio justification mtu aniite mimi fala..kama wapo ambao hawakutapeliwa basi good for them..lakin mimi nimetapeliwa

Unakosea kusema wote ni matapeli. Umeshatapeliwa sh ngapi nikupe? na una uthibtisho upi kwamba wote ni matapeli?
 
We Fala acha kubwatuka umechanganya majina.
Kuna "Sandile Shezi" na "Andile Mayisela"
Hapo jamaa alimuongelea "Andile"
Acha ujinga.
Hata sandile pia anaishi kwa pesa za training, ila yeye ni mjanja sanaa njia anayotumia huwezi kumshtaki
 
Yaani kwamba kila week lazima hiyo pesa iingie? Ila Elikana ni moja kati ya trader ninaowakubali bongo
 
Utanipa wewe laki 4??? Embu acha masikhara aisee..

Na sio justification mtu aniite mimi fala..kama wapo ambao hawakutapeliwa basi good for them..lakin mimi nimetapeliwa
Kwamba 200$ ni nyingi 😂 😂 aisee. Huyo aliyekuita fala ungemtukana kivyake ila si kugeneralize traders wote ni matapeli huo ni uwongo. Rekebisha comment yako sio "wote". Na kama ni wote tuma ewallet yako nikupe hiyo hela maana nimekutapeli pia na wakati sikujui wala sijawahi kukuona ila na mimi umenitia kwenye hiyo list. Ni sawasawa niseme wanawake wote ni Wasagaji, it doesnt make any sense ila nikisema baadhi ya wanawake ni wasagaji huo ni ukweli usiopingika.
 
Si tu forex Bali kila biashara is not for everyone ... Mimi niwewahi kulima na kufuga nikapata hasara .. Ila siwezi kusema ni utapeli ..
Sure kabisa kuna watu wanatusua na kilimo kila wakilima ila kuna wengine kilimo kinawala kinyume na maumbile hahahah kila wakilims

Ndio hapo inatimia ile kauli iliyonenwa na manabii" Kilimo is not for everyone "
 
Akili za kimasikini.

Vizazi vya Ujamaa. Wao kila kitu ni utapeli.
 
Hakuna kundi lisilo na risk hapo.

Iwe Hedge Fund au Information Sellers.

Na usidhani kama Hedge Fund hawana risk management, they risk their knowledge so that they may get more commissions kwasababu wakiloose hawapati kitu zaidi ya kufanya refunds.
 
Utanipa wewe laki 4??? Embu acha masikhara aisee..

Na sio justification mtu aniite mimi fala..kama wapo ambao hawakutapeliwa basi good for them..lakin mimi nimetapeliwa
Lazima utapeliwe kama unatembea na akili mfukoni.

Umepewa concept za forex, kwanini usiende kujifunza mwenyewe? Au ulikuwa unasubiri kutafuniwa kila kitu??

Ndo maana wanasema Forex is not for everyone.
 
Duh aisee pole kwa kijana mwenzetu ila mbona km kwa maelezo yake hapo juu anadai atawalipa haki zao hao wanaomdai .hata hivyo samahani mkuu point yako ni ipi kwa hili andiko uliloandika sorry km hujapenda nilichoandika
Atawalipa kwa kutoa wapi hela?
 
Daah nimekumbuka na thread yako aisee.

Kwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…