UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Umewahi ku trade mkuu?? forex au stock?? kuna jambo naona kama unapotea ama unavyo eleza haliko hivyo

Forex or stock market haiko kama unavyo dhani wewe, kwamba kuna setup moja ambayo wote mnakodolea macho hiyo hiyo atakae wahi kuingia ndie atakae faidi, hakuna kitu kama hicho... pale ambapo setup yako wewe imekubali, mwingine ndio ana exit hapo, mwingine yuko katikat ya trade yake mwingne katungulia masaa mawil etc.
hakunaga kitu kinacho itwa kuwah wala kuchelewa kwa mantiki unayo eleza wewe, kuwahi au kuchelewa ni pale tu setup itakapokua haijakamilika ukaingia au unachelewa ukata imepita.. lakn pia swala la trade ku swing the other way sio swala la kufumba na kufumbua, na swala linalochukua masaa au siku hate weeks
 

 
Ndio Mkuu Mimi nafuga na kuuza Kuku , project Yangu iko Bunju. Karibu sana.
 
Mimi mtu akiniuliza namjibu kwa video na proof basi.

Tena kiroho safi tu na chart nakunyeshaa.
 
Yani pamoja na exposure yako ya nje ya Bongo kumbe bado uko 'dark minded' kiasi hiki.
Sijutegemea uandike comment ya kishamba kama hii.
Unaonekana mtu ambae umeishia primary, hujui kusoma na kuandika lugha ya kiingereza.
Nimekudharau sana.
Kukaa nje ya nchi siyo hoja mkuu. Hata wazungu, wajapani n.k wengi tu hawajui haya mambo kabisa. Tanzania tuna mbuga za wanyama lakini wtanzania wengi hawajawhi kwenda kutembelea mbguga za wanyama na kuwaona live! KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA HAIMAANISHI KWAMBA UTAKUKUWA UNAJUA SHERIA SANA!
 
Yaani kwamba kila week lazima hiyo pesa iingie? Ila Elikana ni moja kati ya trader ninaowakubali bongo

Umeelewa vibaya. Kila week naingiza wastani wa $300.
Hiyo 2.5 million TZS ni wastani wa pato la mwezi. Yaani $300 × 4 = $1200 = TZS 2.5 Million.
 
Kwa kweli JF sitaicha kamwe maana inaniwezesha kupunguza stress zangu kwa kusoma vituko na vichekesho vinavyopatikana humu jukwaani kwa wingi na kwa bei cheeee ya bando!🙂🙂🙂🙂
 
Tena nakumbuka kulikuwa na uzi humuhumu, tulibishana weeeee!
Leo yametokea. Nasisitiza tena na tena kwamba:
1. hakuna hela ya bure duniani.
2. Hakuna fadhila duniani (najua sitoeleweka kwa hii sentensi ila wenye upeo wa GT wa JF watanielewa)
3. Msaada wowote hulipwa kwa gharama zaidi ya msaada uliopokelewa.
4. Hakuna anaejali maendeleo ya binadam mwingine asiye familia yake yaan ndugu wa karibu.
5. Usipende kupokea kwani zawadi zikizidi hugeuka kuwa deni.
6. Iamini riziki halali tokana na jasho lako na siyo ujanjaujanja usifuata kipato halali (ukifanikiwa shukuru mungu, ukikamatwa kama FOREX utajuta)

FOREX ilikuwa ni matokeo ya kufanikiwa kwa DES. Ukiwa mwelewe jifunze ni kwanini waanzilishi wa hizi taasisi huwa ni wageni? Washajua watanzania tunadanganyika kwa urahisi ndo maana wanakuja na kutupiga kisha wasepa.

Anaposema atarudisha hiyo hela atakuwa taahira? Amepata halafu arudishe? Na kwanini afichame?

Poleni sana wabongo wapenda dezo.
Una muamini mtu akufanyie trades zako,kwani soko anamiliki yeye?watu hawajifunzi wanataka mteremko acha wapigwe mpk washangae
 
Kwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....
Bila shaka wewe utakuwa mmoja ya watanzania wanaoishi maishi mazuri sana kibongo bongo. Kama unachokisema ni cha kweli
 
Hakuna kundi lisilo na risk hapo.

Iwe Hedge Fund au Information Sellers.

Na usidhani kama Hedge Fund hawana risk management, they risk their knowledge so that they may get more commissions kwasababu wakiloose hawapati kitu zaidi ya kufanya refunds.
Naona tunazunguka tu hapa..., information kitu ambacho ni abstract hakiishi na production yake inaweza kuwa on demand unatengeneza ukipata mteja unaniambia kuna risk ya knowledge yako, kwamba ina-expire the more you give it out au ?

Hedge funds manager wanafanya refunds ?????

When a hedge fund makes a loss:-

1) The investor loses money
2) The Hedge fund company does not receive its performance fee
3) Any loss incurred by the manager and key employees ni zile pesa zao tu ambazo watakuwa wameinvest kwenye funds yenyewe
 
achana nae huyo mkuu anabisha kwa vitu ambavyo hajawahi fanya ni maajabu kwelikweli
 
umeongea pumba tupu hasa karibu na mwisho
 
Halafu hakuna wakati soko linakuwa against na wewe kama pale unapokuwa separate. Yaani unaweza kuhisi kuna watu wanakuangalia unachofanya wanakufanyia figisu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah! nimecheka sana
 

 
Upo wrong.. sio 100% speculation.. kuna mentality mmeshaijenga kuhusu forex ambayo completely sio ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…