UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!


We share the knowledge
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa kanivamia sijui ushamba sijui nini nimemshangaa mara nimeishia primary... aisee hawa watu waliofeli feli shule na kupata kidogo kila mtu anadhani kafeli kama yeye basi ni kuishi kwa kujitutumua tuu...
siku zote kauli za mtu husadifu akili zake zilivyo
 

TEAM
 
Aisee hatari sana mapips ya kutosha. Ni TF gani hii usijekuwa umetuwekea 1min (joke)
 
Helo wakuu

Acc management 70% of profit yours 30% mine. capital From 50$minimum and 10000$ maximum

Pm or whatsapp 0655115004
 
Tatizo letu Wa bongo kila mtu anajifanya mjuaji/anapenda aonekane anajua kuliko wote..[emoji3][emoji3][emoji3]..instead of kubishana ilitakiwa forums zianzishwe watu wabadilishane experiences coz after all hela za forex haziishi leo wala kesho (over 5 trillion $ per day)..forex is a legitimate business but it needs time and patience and investing in knowledge..Not a quick rich scheme and losses are unavoidable ndo mana kula stop loss..sasa unakuta mtu anapost blue tu ili kuibia watu[emoji28][emoji28]...lets keep learning and chase that paper [emoji39]
 
ukipoteza inakuwaje
Kwani unanipa mkononi no unafungua akaunt yako kwa broker wako unanipa mt4 details tu, mwenye uwezo wa kudeposit na kudrwal ni wewe, kuhusu kupotea utasoma risk disclouser za broker wako, but for me na aaplyy good risk management so i will make sure fund yako inakua doubled then unatoa hofu
 
bna wengi mmeongea wee ila according to my experience

nililipia mafunzo kwa fransisco magnetics which sikujifunza kitu
porojo kibao na ahadi za uongo

nikajitoa nikalipia auto trading kwa majamaa wanaitwa moneyhollic

kachoma account yote

so sjui utanambia nn na hao ma trainer wa bongo ...labda nijifunze mwenyewe online na nijaribu mwenyewe but kwa experience yangu naona wabongo weng wanafundishia njaa

unasema unatengeneza 2.5 mill a month ..well n good hongera

facebook , jf , insta mbona bado unatusumbua unataka laki 1 zetu kwaajili ya trainings ? c uinvest 2.5 m zako utengeneze hata M 4 huko ?

pesa zetu za maji unazitaka za nn ? sasa ukiitwa tapeli utalalamika kweli?[emoji23]

kaa na mamilioni yako bas acha kutupigia kelele tuache na biashara zetu ambazo zinatupa pesa ya uhakika ....kama una moyo wakusaidia coz umefanikiwa fundisha bure
 
money hollic ndo akina nani hao
 

Good point!
 

watu forex wanazani kama unachuma,matapeli ni wengi sana mpaka hualisia wa forex ujulikani sasa.kwa mtu anaye ijua uwezi kukuta anatawaliwa na watu kama hao.utajikuta unawatajirisha.mtu aliye soma forex au kuwa na elimu hii asidanganywe na wanao jiita sijui wata kupa signal ambazo pips utafanikiwa,sijui ukijiunga nao utapata signal za kukupa pesa,kumbe wao kutengeneza pesa kwa njia ya wajinga kupitia mambo ya kijanja.
forex sio lele mama fanyeni kazi nyengine ukiona mafanikio sio rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…