UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Ukifanya Fujo Na Ukajiona Wewe Hodari Sana
Utapigwa Tu Na Mimi Nasema Wapigwe Tu Tumechoka

Ndugu Zangu Haya Maisha Na Mambo Ya Soft Touch Lazima Yakupeleke Pabaya
 
Forex(margin trading) ni kamali hakuna njia unaweza tenganisha hii kitu na kamali.

Kabla ya kuvunjwa kwa mkataba wa breton (https://www.investopedia.com/terms/b/brettonwoodsagreement.asp) primary ya purpose ya forex ilikuwa ni ku-facilitate international trade.
Baada ya hapo 90% ya mzunguko wa forex hivi sasa ni kwa ajili ya speculation tu.
Speculators wa forex anapopoteza hakuna huduma ama bidhaa ambayo anabaki nayo.

Broker awe ECN & STP au MM bado iko vile vile kwamba mmoja lazima apate hasara aidha awe retail trader, bank & hedge fund(liquidity provider yoyote) via ECN au STP brocker na Market Make mmoja wapo lazima apoteze lazima apoteze.

Na unaposema MM anajua mwelekeo wa soko halina ukweli, Mfano mzuri ni mwaka 2011 brocker "MF brocker" ambaye ni market maker alifirisika vibaya baada ya soko kwenda kinyume na matarijio.
Tukija stock, lengo la stock ni kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni na hivyo unakuwa na mmoja wa watu ambao mnaopata gawio kutokana na faida ambayo so sina shida na stock.

Ila pale unapofanya stock market kwa lengo "ku-SPECULATE" yaani haupo tayari kuwa sehemu umiliki hiyo ni kamali tu, na hivyo unaweza tengeneza pesa au ukaja ukapoteza pesa kama Kweku adoboli wa ghana(https://en.wikipedia.org/wiki/Kweku_Adoboli).
Trading means a supply and demand cycle. You get the supply so if there is a demand you sell your supply. If you have a business, e.g. selling fruits etc., if a businessman gets 5 packs of Oranges, What assurance does he have that all 5 packs of oranges will be sold? of course he is not sure if all will be sold, perhaps some will rot and that is his loss right? Is that gambling? maybe gambling in a sense that you have to take the loss, but that’s how business is, a probability/Speculation/risk.
Alafu kuna sehemu umeandika Margin Trading huwesi pata faida, mkuu huo ni uongo. kwa mantiki hiyo hakuna mtu duniani ambaye amepata faida kutokana na Forex(Trading only)
 
Wewe una pesa ngapi umetengeneza huko kwenye forex?

Kuna matajiri kwenye viwanda, kilimo, uchuuzi lakini sijawahi kusikia tajiri wa kubet wala forex!!

Figure that out..
NB: nionyeshe matusi kwa hiyo post uliyoquote
unataka kujua hela niliyoingiza ili iweje boss? unafanya kazi TRA? Unafikiri kila mtu ambaye ni tajiri lazima ajitangaze? Alafu hujawahi skia Tanzania ama duniani? The only thing i need to figure out is what my next move on monday will be nothing more nothing less.
NB; Mpuuzi ni salamu?
 
Yani hii nchi ccm itaendelea kutawala miaka 60,000 ijayo... Yaani mpaka mwaka 2019 mtu anasema Forex ni utapeli. Bad enough mtu huyu ukute kamaliza chuo na ana degree yake ... Oohhh Lord

Mtu anakwambia kilimo hakina hasara !!! .. Mungu wangu...

Mtu analinganisha Forex na michezo ya kubeti !!! Mungu wangu ... Sasa mbona haiendi kusajiliwa kwenye ile bodi ya michezo ya kubashiri ya wakina Abas Tarimba ???

Mtu anakuja na hoja eti hakuna hela bila kufanya kazi ... Unamuuliza wale wanaonunua hisa za za DSE (Soko la hisa Dar) katika vodacom , faida wanapataje??? .. Na Mimi nikinunua Hisa za mmarekani au makampuni 30 ya mjerumani (ger30) Nina tofauti gani na huyo wa DSE??

Sasa kwa nini wa DSE asisemwe asemwe yule wa ger30 kwenye forex ??..

Ila Mimi siwalaumu watanzania maana haya ni matokeo ya Sera mbovu za nchi kufuga raia kama Kuku bandani. . RAIA hawana exposure hata ya kutembelea nchi jirani walau hata Burundi muone wengine wanaishi vipi ... Kuna vitu vingi RAIA inabidi tupate exposure ili tuweze kufanya ...

Leo Serikali ya Tanzania huwa inauza T.Bills na Tresuary Bonds zake, na huwa zinatangazwa na mawakala wa soko la hisa la Dar Es Salam... Kwa akili hizi ninazoziona humu ndio maana sishangai kuona wanunuzi wakubwa wa hizi amana za serikali huwa ni waarabu na wahindi waishio Tanzania.. Wenzenu wanaamka na misuli ni mwendo wa kusali tu kutwa nzima. Kumbe wamenunua zao amana za serikali..

Nyie endeleeni kukopana vikoba .. Nchi inaliwa na wachache kwa kuamini hakuna kazi bila kutoka jasho .. Ila sishangai sisi tulikuwa watumwa ...

NB: ifike muda kila MTU afanye aonacho kinafaa. Tumejitahidi sana kuelimisha Ndugu zetu ila matokeo yake ni kuitwa matapeli ...
 
Trading means a supply and demand cycle. You get the supply so if there is a demand you sell your supply. If you have a business, e.g. selling fruits etc., if a businessman gets 5 packs of Oranges, What assurance does he have that all 5 packs of oranges will be sold?
of course he is not sure if all will be sold, perhaps some will rot and that is his loss right? Is that gambling? maybe gambling in a sense that you have to take the loss, but that’s how business is, a probability/Speculation/risk.
Biashara huwa ina pande mbili kama, muuzaji na mnunuaji.
Mnunuaji anapotoa pesa kwa muuzaji kuna kuwa na exchange ya "valuable goods or services" hivyo kwa mfano wako wa machungwa mnunuaji atapoteza pesa lakini anabaki chungwa.
Hii ni tofauti na huu mchezo, Speculators (muuzaji na mnunuaji) target ni pesa na sio "bidhaa au huduma". Hivyo kama tunadeal pair EURUSD lazima mmoja wapo aende chaka ili wengine mpate faida kwa sababu msingi wa hii kitu hauna huduma wala bidhaa hii ni KAMALI.

Alafu kuna sehemu umeandika Margin Trading huwesi pata faida, mkuu huo ni uongo. kwa mantiki hiyo hakuna mtu duniani ambaye amepata faida kutokana na Forex(Trading only)

Unaweza ukanionyesha Sehemu niliyosema hivyo, Nilichokisema natambua ni kwamba wapo wanaotengeneza na wapo wanaoliwa kwenye hii kamali kama zilizyo kamali zingine.
 
Biashara huwa ina pande mbili kama, muuzaji na mnunuaji.
Mnunuaji anapotoa pesa kwa muuzaji kuna kuwa na exchange ya "valuable goods or services" hivyo kwa mfano wako wa machungwa mnunuaji atapoteza pesa lakini anabaki chungwa.
Hii ni tofauti na huu mchezo, Speculators (muuzaji na mnunuaji) target ni pesa na sio "bidhaa au huduma". Hivyo kama tunadeal pair EURUSD lazima mmoja wapo aende chaka ili wengine mpate faida kwa sababu msingi wa hii kitu hauna huduma wala bidhaa hii ni KAMALI.

Unaweza ukanionyesha Sehemu niliyosema hivyo, Nilichokisema natambua ni kwamba wapo wanaotengeneza na wapo wanaoliwa kwenye hii kamali kama zilizyo kamali zingine.
Tolea mfano ununuaji wa hisa za Vodacom au TBL , nakukumbusha pia hasara kule zipo,...

Niambie Mnunuzi ni yupi na mnunuaji ni yupi ..
 
Biashara huwa ina pande mbili kama, muuzaji na mnunuaji.
Mnunuaji anapotoa pesa kwa muuzaji kuna kuwa na exchange ya "valuable goods or services" hivyo kwa mfano wako wa machungwa mnunuaji atapoteza pesa lakini anabaki chungwa.
Hii ni tofauti na huu mchezo, Speculators (muuzaji na mnunuaji) target ni pesa na sio "bidhaa au huduma". Hivyo kama tunadeal pair EURUSD lazima mmoja wapo aende chaka ili wengine mpate faida kwa sababu msingi wa hii kitu hauna huduma wala bidhaa hii ni KAMALI.

Unaweza ukanionyesha Sehemu niliyosema hivyo, Nilichokisema natambua ni kwamba wapo wanaotengeneza na wapo wanaoliwa kwenye hii kamali kama zilizyo kamali zingine.
Sisi hatuna valuable goods or services bali tuna supply and demand, na hayo machungwa yaliyobaki si yanaoza?
Hivi unaponunua USD kwenye banks hapa bongo kale kakaratasi sio bidhaa? na ile transaction pale sio huduma?Goods zangu zipo kwenye form of currencies na services zangu zinapatikana kwenye banks na financial institutions, sina tofauti na mbongo ambaye anaendaga kununua 1000$ anakaa nazo ndani mpaka pale rate itakapo panda ndo anaenda kuzibadilisha ili apate faida ila yeye anafanya physical so huyu naye anacheza kamari?
Kama umeshawahi kusafiri kwenda nchi za nje kataa ukubali umeshafanya forex na huwezi kukataa kwasababu kitendo cha kubadilisha tu fedha hii kwenda fedha nyingine hiyo tayari ni Forex unayoita wewe Kamari. Forex ndo njia pekee ambayo wewe unaweza badilisha fedha hapa duniani, unapo agiza gari nje ya nchi unalipa kwa foreign currency ya nchi husika kile kitendo cha kuibadilisha hela ya Tanzania kwenda USD tayari ni forex kwahiyo hapo unacheza kamari?
Tofauti pekee ni kwamba wewe utafanya one to one basis if you bought the actual currency(goods) while mimi ntabuy or kusell kutokana na exposure iliyojitokeza hapo kutokana na movement ya currency yenyewe
Na sababu kubwa ambayo inafanya watu waite Forex kamari ni kwamba wana illusions na fallacy kwamba ni pesa za rahisi tu chapchap tayari you are rich while they don't realize that you need to invest a few years in education and experience, hii sio bingo nimechagua number nikalala kesho nimeamka number yangu imeshinda nina billion 100 huo ni ujinga embu.Kumbuka hata Banks zenye access to each and every information and research consistently make profit ndo maana hakuna 100% guarantee utapata faida bali ni 90% guarantee utapata hasara ningekuelewa zaidi kama ungesema forex ni biashara ngumu ila sio kwamba ni kamari kasome kitabu cha currency trading for Dummies ama trading in the zone kitabadilisha perception yako boss.

Huwezi ukapata faida kwenye hii margin trading ambayo mnaita forex kama hakuna mtu ambaye au taasisi ambayo wakati huo inatengeneza hasara.
This is a False statement boss.
 
Wapuuzi puuzi mtawapata mkuu.. Wajinga wa kuibiwa hawawezi isha ulimwengu huu..

Hii screenshot inaonekana unaipenda sana, ulishaiweka humu tena mwaka jana. Usitake nikafukue ule uzi udhalilike
Nikuekee yangu!? Ya jana
 
siri kubwa ya forex trade ni hii, brokers wakiona pair flani ya currency watu wengi wamebuy, wanafanya ujanja wao kubadilisha mwelekeo ili wengi waliobuy wapate loss na wale wachache walio sell wanakuwa wamepata faida, kwa hiyo always hii biashara wengi wataliwa wachache watawin
Rule n 01 don't follow majority follow yout rules 02.when in doubt know wher to get out, usiseme broker ni hivii mfano pale watu wanapobuy right always wanatarget where the bear are they sasa basi wale waliobuy katikati not dips huwa wanatoka mapema(secure profit),

pale unapoelekea upande wa mwenzio chek volume ni high or low na volume yao pale ipoje then linganisha ndo utajua ubaki au utoke , sasa we unavyobaki na wenzio wametoka volume imedry jua mtaji wako utakua mwekundu

Broker ye hana uwezo wa kusukuma price ila anaouwezo wa kufake pips kdhaa tu ambazo zitakupelekea kupata majibu ya tofauti, na ndipo kundi hupotea mfano anaweza kuonyesha candle imeFILL Previous wick kumbe ameadd pips kadhaa tu kumbe sio wick haijawa filled completely matokeo yake unafikiri continuation kumbe backward pressure bado ipo live sasa majority wanasell gafla unaona vuup bull candle inawakomba

Follow your rules
 
Sisi hatuna valuable goods or services bali tuna supply and demand, na hayo machungwa yaliyobaki si yanaoza?
Hivi unaponunua USD kwenye banks hapa bongo kale kakaratasi sio bidhaa? na ile transaction pale sio huduma?Goods zangu zipo kwenye form of currencies na services zangu zinapatikana kwenye banks na financial institutions, sina tofauti na mbongo ambaye anaendaga kununua 1000$ anakaa nazo ndani mpaka pale rate itakapo panda ndo anaenda kuzibadilisha ili apate faida ila yeye anafanya physical so huyu naye anacheza kamari?
Kama umeshawahi kusafiri kwenda nchi za nje kataa ukubali umeshafanya forex na huwezi kukataa kwasababu kitendo cha kubadilisha tu fedha hii kwenda fedha nyingine hiyo ta
yari ni Forex unayoita wewe Kamari. Forex ndo njia pekee ambayo wewe unaweza badilisha fedha hapa duniani, unapo agiza gari nje ya nchi unalipa kwa foreign currency ya nchi husika kile kitendo cha kuibadilisha hela ya Tanzania kwenda USD tayari ni forex kwahiyo hapo unacheza kamari?
Tofauti pekee ni kwamba wewe utafanya one to one basis if you bought the actual currency(goods) while mimi ntabuy or kusell kutokana na exposure iliyojitokeza hapo kutokana na movement ya currency yenyewe
Na sababu kubwa ambayo inafanya watu waite Forex kamari ni kwamba wana illusions na fallacy kwamba ni pesa za rahisi tu chapchap tayari you are rich while they don't realize that you need to invest a few years in education and experience, hii sio bingo nimechagua number nikalala kesho nimeamka number yangu imeshinda nina billion 100 huo ni ujinga embu.Kumbuka hata Banks zenye access to each and every information and research consistently make profit ndo maana hakuna 100% guarantee utapata faida bali ni 90% guarantee utapata hasara ningekuelewa zaidi kama ungesema forex ni biashara ngumu ila sio kwamba ni kamari kasome kitabu cha currency trading for Dummies ama trading in the zone kitabadilisha perception yako boss.

This is a False statement boss.
Mzee hapo hakuna goods wala service na huko benki unaposema service zako ndizo zinapatikana wala sio kweli haya mabenki yanayodili na currency speculation kama wewe wana kitu kinaitwa TRADING DESK kwa maana na wenyewe wana cheza kamali, ndio maana USA ilipiga marufuku kupitia sheria ya FIFO mabenk yanoyafanya forex trading kutumia pesa za wateja.

Aiseeh, nimeelezea historia ya forex tangu bretonwood agreement ambayo point yako ya kusafiri inabase humo ambayo hizo huduma ndio zilikuwa lengo kuu la forex ila leo zaidi ya 90% ya forex market ni SPECULATIVE purpose
na si ya yale malengo la awali yaliyoofikiwa kwenye breetonwood agreement refence post #469 na link nimeweka.

Forex unayojaribu kutoa mfano wake kwa sasa inahusisha kasehemu kadogo sana ya soko la forex ambayo hapa hatujadili hilo mimi nimebezi kwenye CURRENCY SPECULATION ambayo mnayofanya ambayo ni KAMALI.

" While investment in traditional financial instruments like bonds or stocks often is considered to contribute positively to economic growth by providing capital, currency speculation does not; according to this view, it is simply gambling that often interferes with economic policy. "
SOurce.
Huwezi ukapata faida kwenye hii margin trading ambayo mnaita forex kama hakuna mtu ambaye au taasisi ambayo wakati huo inatengeneza hasara

Huu ndio ukweli, lazima kuwepo na mtu au taasisi inayotengeneza hasara ili wewe upate faida. Sijasema hupati faida, ila faida inapatika wakiwepo losers.
 
Forex Account management !!!!

-No entrace fees
- Capital from 50$-10000$
- 70%made profit is yours 30%mine
Open your account deposit and send me your MT4 details only

piaa kwa waliokata tamaa katika forex na ambao hawaelewi forex ni kitu gani @ TRONEMONEY FOREX
Wanakusaidia kukuelimisha kupitia whatsapp group

fees ni 2.5$ only per month group litaanza hivi karibuni
Whatsapp 0655115004
 
Mimi siwezi panic sio kichwa maji kama wewe, Hivi nani kakudanganya kilimo kina guarantee ya kupata unachokitaka. Unachekesha eti ukipanda ekari moja unaambiwa kabisa utapata kiasi gani bro unatumia mavi kufikiri. Kwa ujinga ulioandika hapa lazima uchukie forex. Nyie ndio wale nyumbu mkiambia inalipa wote mnajazana bila kuangalia upande mwingine wa shilingi lazima upigwa tu.

Kama Umeshindwa kutofautisha kati ya forex na gambling unaona vyote ni sawa, hicho kichwa ulicho nacho ni anasa maana hakikusaidii.U
Salim Sumri kauza Mabasi yake zaidi ya 80 akawekeza pesa yote kwenye kilimo. Analima ekari 5000 za mahindi, ana mashine ya kuvunia ameinunua kwa zaidi ya Million 600.. Then a stupid cunt kama wewe unasema kilimo upumbavu??

Nenda Morogoro, Mbeya, Iringa, Songea, Kiteto kaseme huo ujinga wako. Nenda Mtwara na Lindi waambie huo ujinga ulio kichwani kwako. Wewe umesoma HKL unataka unifundishe mimi Forex??

Wajinga mnaopenda shortcut kwenye maisha ndio mnaishia kufanya huo upumbavu. Possibly mnatetea hapa ni hao matapeli mnaokimbia na pesa za watu. Hakuna shortcut kwenye utajiri you have to deliver goods or services.
 
Kwa hiyo ndio kusema ule msemo wa wahenga wajinga ndio waliwao umetimia...teh teh!
 
Mzee hapo hakuna goods wala service na huko benki unaposema service zako ndizo zinapatikana wala sio kweli haya mabenki yanayodili na currency speculation kama wewe wana kitu kinaitwa TRADING DESK kwa maana na wenyewe wana cheza kamali, ndio maana USA ilipiga marufuku kupitia sheria ya FIFO mabenk yanoyafanya forex trading kutumia pesa za wateja.

Aiseeh, nimeelezea historia ya forex tangu bretonwood agreement ambayo point yako ya kusafiri inabase humo ambayo hizo huduma ndio zilikuwa lengo kuu la forex ila leo zaidi ya 90% ya forex market ni SPECULATIVE purpose
na si ya yale malengo la awali yaliyoofikiwa kwenye breetonwood agreement refence post #469 na link nimeweka.

Forex unayojaribu kutoa mfano wake kwa sasa inahusisha kasehemu kadogo sana ya soko la forex ambayo hapa hatujadili hilo mimi nimebezi kwenye CURRENCY SPECULATION ambayo mnayofanya ambayo ni KAMALI.

" While investment in traditional financial instruments like bonds or stocks often is considered to contribute positively to economic growth by providing capital, currency speculation does not; according to this view, it is simply gambling that often interferes with economic policy. "
SOurce.

Huu ndio ukweli, lazima kuwepo na mtu au taasisi inayotengeneza hasara ili wewe upate faida. Sijasema hupati faida, ila faida inapatika wakiwepo losers.
Kwanza acha kudanganya, lengo kuu la bretton woods lilikuwa ni kuhakikisha economic stability ya nchi na ndo IMF ilipozaliwa hapo.na kama unaongelea FOREX ONGELEA ABOUT IT AS A WHOLE si kuchagua hiki sitaki hiki nataka hili tu iwe ni your favor. Na nitarudia tena kusema in one way or the other watu wote duniani tunafanya Forex na umeshindwa kujibu hoja zangu wewe umekomalia kitu kimoja tu. According to this view which is your view not my view kama we unaona forex ni kamari sawa hongera, tho thats your view ambayo haina maana yoyote ile. izo link na vitu unavyoongea nimevisoma kitambo na ni irrelevant na ndo maana wanaosoma vitu ka hizo keep on losing money. lets agree to disagree.
 
Yani hii nchi ccm itaendelea kutawala miaka 60,000 ijayo... Yaani mpaka mwaka 2019 mtu anasema Forex ni utapeli. Bad enough mtu huyu ukute kamaliza chuo na ana degree yake ... Oohhh Lord

Mtu anakwambia kilimo hakina hasara !!! .. Mungu wangu...

Mtu analinganisha Forex na michezo ya kubeti !!! Mungu wangu ... Sasa mbona haiendi kusajiliwa kwenye ile bodi ya michezo ya kubashiri ya wakina Abas Tarimba ???

Mtu anakuja na hoja eti hakuna hela bila kufanya kazi ... Unamuuliza wale wanaonunua hisa za za DSE (Soko la hisa Dar) katika vodacom , faida wanapataje??? .. Na Mimi nikinunua Hisa za mmarekani au makampuni 30 ya mjerumani (ger30) Nina tofauti gani na huyo wa DSE??

Sasa kwa nini wa DSE asisemwe asemwe yule wa ger30 kwenye forex ??..

Ila Mimi siwalaumu watanzania maana haya ni matokeo ya Sera mbovu za nchi kufuga raia kama Kuku bandani. . RAIA hawana exposure hata ya kutembelea nchi jirani walau hata Burundi muone wengine wanaishi vipi ... Kuna vitu vingi RAIA inabidi tupate exposure ili tuweze kufanya ...

Leo Serikali ya Tanzania huwa inauza T.Bills na Tresuary Bonds zake, na huwa zinatangazwa na mawakala wa soko la hisa la Dar Es Salam... Kwa akili hizi ninazoziona humu ndio maana sishangai kuona wanunuzi wakubwa wa hizi amana za serikali huwa ni waarabu na wahindi waishio Tanzania.. Wenzenu wanaamka na misuli ni mwendo wa kusali tu kutwa nzima. Kumbe wamenunua zao amana za serikali..

Nyie endeleeni kukopana vikoba .. Nchi inaliwa na wachache kwa kuamini hakuna kazi bila kutoka jasho .. Ila sishangai sisi tulikuwa watumwa ...

NB: ifike muda kila MTU afanye aonacho kinafaa. Tumejitahidi sana kuelimisha Ndugu zetu ila matokeo yake ni kuitwa matapeli ...
Acha kelele taja tajiri mmoja aliyepiga pesa kwenye Forex hapa duniani.. I mean a current one..

Forex ni somo ambalo linafundishwa kwenye Management Accounting, ni soma ambalo kila muhasibu lazima asome. Big Financial Institutions zinaajiri First Class students na bado zinawasomesha on envy league Universities. Huwezi kuwa Treasurer pale Barclays, Standard Chartered na bank kubwa duniani kama hizo kama akili yako haiko on another level. Kama Forex is not scum hawa watu wenye akili nyingi wangekuwa wanaingizia faida year in year out hizo banks. But kwanini wao wanarisk kununua Government bonds inamarture maybe after 10yrs wakati anaweza cheza hiyo forex in a night akatengeneza a billion profit?

Forex ingekuwa a real business hakuna bank ingefilisika rafiki, Banks have lot of money, trust me alot of money kuwa bankrupty wakati forex inalipa overnight. Barclays SA isingewekwa under muflisi wakati Fulani kwa kushindwa kuulinda mtaji wake..

Forex is a scum, asifananishe hata forex na shares zinakouzwa pale DSE. Ukinunua share ya Vodacom there are folks who works very hard day in day out kuhakikisha Vodacom inatengeneza faida na ndio hapo value ya share hupanda. Sasa wewe una trade currencies unafananisha na a tangible thing kama Vodacom au TBL?
 
Nikuekee yangu!? Ya jana
Sasa si unaona, ndo walewale

Back
Top Bottom