UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Forex(margin trading) ni kamali hakuna njia unaweza tenganisha hii kitu na kamali.

Kabla ya kuvunjwa kwa mkataba wa breton (https://www.investopedia.com/terms/b/brettonwoodsagreement.asp) primary ya purpose ya forex ilikuwa ni ku-facilitate international trade.
Baada ya hapo 90% ya mzunguko wa forex hivi sasa ni kwa ajili ya speculation tu.
Speculators wa forex anapopoteza hakuna huduma ama bidhaa ambayo anabaki nayo.

Broker awe ECN & STP au MM bado iko vile vile kwamba mmoja lazima apate hasara aidha awe retail trader, bank & hedge fund(liquidity provider yoyote) via ECN au STP brocker na Market Make mmoja wapo lazima apoteze lazima apoteze.

Na unaposema MM anajua mwelekeo wa soko halina ukweli, Mfano mzuri ni mwaka 2011 brocker "MF brocker" ambaye ni market maker alifirisika vibaya baada ya soko kwenda kinyume na matarijio.
Tukija stock, lengo la stock ni kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni na hivyo unakuwa na mmoja wa watu ambao mnaopata gawio kutokana na faida ambayo so sina shida na stock.

Ila pale unapofanya stock market kwa lengo "ku-SPECULATE" yaani haupo tayari kuwa sehemu umiliki hiyo ni kamali tu, na hivyo unaweza tengeneza pesa au ukaja ukapoteza pesa kama Kweku adoboli wa ghana(https://en.wikipedia.org/wiki/Kweku_Adoboli).
So what do you want from wacheza kamari? Do you want them to quit kucheza kamari wawe kama wewe ambaye huchezi or what do you want from them? You are just lamenting kwamba forex and the like ni kamari, then tell them what is you motive? Mi nadhani ungekuwa unakomaa na watu wanaofanya vitendo vionvu kama ubakaji, ujambazi, uzinzi na mengine kama hayo ungeonekana wa maana sana.
 
So what do you want from wacheza kamari? Do you want them to quit kucheza kamari wawe kama wewe ambaye huchezi or what do you want from them? You are just lamenting kwamba forex and the like ni kamari, then tell them what is you motive? Mi nadhani ungekuwa unakomaa na watu wanaofanya vitendo vionvu kama ubakaji, ujambazi, uzinzi na mengine kama hayo ungeonekana wa maana sana.
Ahsante kwa ushauri.
 
Acha kelele taja tajiri mmoja aliyepiga pesa kwenye Forex hapa duniani.. I mean a current one..

Forex ni somo ambalo linafundishwa kwenye Management Accounting, ni soma ambalo kila muhasibu lazima asome. Big Financial Institutions zinaajiri First Class students na bado zinawasomesha on envy league Universities. Huwezi kuwa Treasurer pale Barclays, Standard Chartered na bank kubwa duniani kama hizo kama akili yako haiko on another level. Kama Forex is not scum hawa watu wenye akili nyingi wangekuwa wanaingizia faida year in year out hizo banks. But kwanini wao wanarisk kununua Government bonds inamarture maybe after 10yrs wakati anaweza cheza hiyo forex in a night akatengeneza a billion profit?

Forex ingekuwa a real business hakuna bank ingefilisika rafiki, Banks have lot of money, trust me alot of money kuwa bankrupty wakati forex inalipa overnight. Barclays SA isingewekwa under muflisi wakati Fulani kwa kushindwa kuulinda mtaji wake..

Forex is a scum, asifananishe hata forex na shares zinakouzwa pale DSE. Ukinunua share ya Vodacom there are folks who works very hard day in day out kuhakikisha Vodacom inatengeneza faida na ndio hapo value ya share hupanda. Sasa wewe una trade currencies unafananisha na a tangible thing kama Vodacom au TBL?
George Soros ...


Nenda kamsome Pimbi weww
 
nakumbuka nilimpigia simu kipindi sijui forex jamaa alisema account management ni milion 1 na laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]nikasema sawa nikatulia kimyaaaą
 
So what do you want from wacheza kamari? Do you want them to quit kucheza kamari wawe kama wewe ambaye huchezi or what do you want from them? You are just lamenting kwamba forex and the like ni kamari, then tell them what is you motive? Mi nadhani ungekuwa unakomaa na watu wanaofanya vitendo vionvu kama ubakaji, ujambazi, uzinzi na mengine kama hayo ungeonekana wa maana sana.
Nawashangaa Sana hawa watu wanaoonea Huruma hela zetu .. Hatujawahi kuja humu kumuomba hata 100 MTU yoyote .. Hela tunatafuta sisi na tunaibiwa au kubet sisi (Kama wanavyosema) ...

Ila roho inawauma wao .. Hahahaha
 
Salim Sumri kauza Mabasi yake zaidi ya 80 akawekeza pesa yote kwenye kilimo. Analima ekari 5000 za mahindi, ana mashine ya kuvunia ameinunua kwa zaidi ya Million 600.. Then a stupid cunt kama wewe unasema kilimo upumbavu??

Nenda Morogoro, Mbeya, Iringa, Songea, Kiteto kaseme huo ujinga wako. Nenda Mtwara na Lindi waambie huo ujinga ulio kichwani kwako. Wewe umesoma HKL unataka unifundishe mimi Forex??

Wajinga mnaopenda shortcut kwenye maisha ndio mnaishia kufanya huo upumbavu. Possibly mnatetea hapa ni hao matapeli mnaokimbia na pesa za watu. Hakuna shortcut kwenye utajiri you have to deliver goods or services.
Wewe kichaa kweli unazungumzia million 600 kwenye Forex ??


Huyo Magnetic kijaba mbongo ambae najua angeweza kukuoa wewe na familia yako mbona alikuwa nayo kwenye account yake .. Nenda Barclays masaki ukaulize wale staffs wa pale walivyokuwa wanajigonga gonga kwake ...
 
Wewe kichaa kweli unazungumzia million 600 kwenye Forex ??


Huyo Magnetic kijaba mbongo ambae najua angeweza kukuoa wewe na familia yako mbona alikuwa nayo kwenye account yake .. Nenda Barclays masaki ukaulize wale staffs wa pale walivyokuwa wanajigonga gonga kwake ...
Unamsifia mwanaume mwenzio mkuu atakuoa!!!
 
Nimekuwa nikiifuatilia hii forex kwa muda sana nimeelewa nianzie wapi. Mm nataka kuwa international scalper lakini shida yangu nimjue broker mwenye spread ndogo kabisa bila commission au broker mwenye ecn account yenye spread 0.0, 0.1 au 0.2 ikiambatana na commission isiyozidi 2$ per 1lot. Nikifanikiwa kumpata broker wa hivyo vigezo I'm sure sihitaji kutumia nyingi. Ni kuscalp kwa kwenda mbele. Nikikosea entry position nahedge so I will always make profit. Mwenye kumjua broker wa hivyo anitaG
 
Kubeti ni ujinga tena ujinga mkubwa huwezi kua na ndoto za kufanikiwa kwa kutegemea kubeti.vijana tumepoteza dira kila mtu anataka kubeti ili ajenge au anunue gari,matumaini ni kubeti kwa kwenda mbele
 
siri kubwa ya forex trade ni hii, brokers wakiona pair flani ya currency watu wengi wamebuy, wanafanya ujanja wao kubadilisha mwelekeo ili wengi waliobuy wapate loss na wale wachache walio sell wanakuwa wamepata faida, kwa hiyo always hii biashara wengi wataliwa wachache watawin
Mbona mabroker wapo wengi so hii imekaaje, wanakubaliana wote kwenda against na traders wao ama ni vp?
 
Mzee hapo hakuna goods wala service na huko benki unaposema service zako ndizo zinapatikana wala sio kweli haya mabenki yanayodili na currency speculation kama wewe wana kitu kinaitwa TRADING DESK kwa maana na wenyewe wana cheza kamali, ndio maana USA ilipiga marufuku kupitia sheria ya FIFO mabenk yanoyafanya forex trading kutumia pesa za wateja.

Aiseeh, nimeelezea historia ya forex tangu bretonwood agreement ambayo point yako ya kusafiri inabase humo ambayo hizo huduma ndio zilikuwa lengo kuu la forex ila leo zaidi ya 90% ya forex market ni SPECULATIVE purpose
na si ya yale malengo la awali yaliyoofikiwa kwenye breetonwood agreement refence post #469 na link nimeweka.

Forex unayojaribu kutoa mfano wake kwa sasa inahusisha kasehemu kadogo sana ya soko la forex ambayo hapa hatujadili hilo mimi nimebezi kwenye CURRENCY SPECULATION ambayo mnayofanya ambayo ni KAMALI.

" While investment in traditional financial instruments like bonds or stocks often is considered to contribute positively to economic growth by providing capital, currency speculation does not; according to this view, it is simply gambling that often interferes with economic policy. "
SOurce.


Huu ndio ukweli, lazima kuwepo na mtu au taasisi inayotengeneza hasara ili wewe upate faida. Sijasema hupati faida, ila faida inapatika wakiwepo losers.
Bro unajua

Jamaa yangu kweku adeboli,saiv kaachiwa anajifundishia tu vijana young investment bankers juu ya hasara za ku over leverage.

Fx is not a scam but it is a speculation, currency speculation

And we all know kuwa kuna very thin line kati ya speculation na Betting
 
Count the pips not my money

Izo red nili move stop loss mapema kabla ya retest maana sikupenda iyo trade ya index japo nilikua nipo sahihi na itadrop about 150+pips
Screenshot_20190518-171428.jpeg
IMG_20190518_161821_090.jpeg
Screenshot_20190518-161633.jpeg
 
Friday hopee gold kila mtu alipata gawioo la mishaharaa.

Free telegram channel
IMG_20190517_171453_666.jpeg
 
Back
Top Bottom