Mzee hapo hakuna goods wala service na huko benki unaposema service zako ndizo zinapatikana wala sio kweli haya mabenki yanayodili na currency speculation kama wewe wana kitu kinaitwa TRADING DESK kwa maana na wenyewe wana cheza kamali, ndio maana USA ilipiga marufuku kupitia sheria ya FIFO mabenk yanoyafanya forex trading kutumia pesa za wateja.
Aiseeh, nimeelezea historia ya forex tangu bretonwood agreement ambayo point yako ya kusafiri inabase humo ambayo hizo huduma ndio zilikuwa lengo kuu la forex ila leo zaidi ya 90% ya forex market ni
SPECULATIVE purpose
na si ya yale malengo la awali yaliyoofikiwa kwenye breetonwood agreement refence post #469 na link nimeweka.
Forex unayojaribu kutoa mfano wake kwa sasa inahusisha kasehemu kadogo sana ya soko la forex ambayo hapa hatujadili hilo mimi nimebezi kwenye CURRENCY SPECULATION ambayo mnayofanya ambayo ni KAMALI.
" While investment in traditional financial instruments like bonds or stocks often is considered to contribute positively to economic growth by providing capital, currency speculation does not; according to this view, it is simply
gambling that often interferes with economic policy. "
SOurce.
en.wikipedia.org
Huu ndio ukweli, lazima kuwepo na mtu au taasisi inayotengeneza hasara ili wewe upate faida. Sijasema hupati faida, ila faida inapatika wakiwepo losers.