King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
๐ ๐ ๐ ๐ Nashangaaga sana eti forex is not for everyoneWenyewe wana kamsemo ka Forex is not for everyone๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ Nashangaaga sana eti forex is not for everyoneWenyewe wana kamsemo ka Forex is not for everyone๐๐๐
Si tu forex Bali kila biashara is not for everyone ... Mimi niwewahi kulima na kufuga nikapata hasara .. Ila siwezi kusema ni utapeli ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nashangaaga sana eti forex is not for everyone
๐๐๐๐ Inawezekana aisee mtu kama mimi siwezi biashara za usafirishaji abiria kama pikipiki au bajaji.Si tu forex Bali kila biashara is not for everyone ... Mimi niwewahi kulima na kufuga nikapata hasara .. Ila siwezi kusema ni utapeli ..
Mkuu nikuulize umewahi jaribu kufanya hiyo forex na ulianzaje na kama ni ndiyo una muda gani tangia uanze unaweza kutupa na detail kidg za kusapoti kwamba umewahi fanya ili kwa sisi ambao tunatamani kuingia huko tujue mapemaSijaonesha tatizo mkuu hapo nilikuwa ninamuonyesha kwamba institutions nyingi sasa hivi zina-invest kwenye computers na softwares ambazo wewe unatumia masaa kuangalia signals computer inaiona kwa sekunde na ku-act kwenye theluthi ya sekunde.., making it even a more competitive thing, pia lazima ujue signals sio kila kitu kuna mambo unpredictable yanaweza kutokea wakati wowote, hence mtu inabidi uwe aware na kuangalia news na kupata information za hapa na pale, karne hii ambayo Trump anaweza kutoa Tweet kuhusu Uturuki na kushusha pesa yao ni karne ya information at your fingertips anything can happen wakati wowote..
Point ya mimi kuja hapa ilikuwa ni kuelezea mambo matatu tu, sio kuwaambia watu waache au waendelee Trading (kuna watu Trading is in their DNA) kuna watu Trading ni mwanzo wa ugonjwa wa moyo na depression as well as emotional nightmare..., jambo ambalo recruiters huwa hawawaambii potential customers...
Mambo hayo ni
Moja: Forex Trading ni high risk unpredictable business
Mbili: Wauza vitabu na systems na learning systems kuhusu Trading wanauza Information hapo hakuna risk yoyote (kwahio hata wewe kama una following ya watu 100 nakushauri anza kutengeneza infomanuals na kuuza that is guaranteed cash no risk; na hii ni biashara ya recruiting (yaani kuvutia watu wajiunge) na ndio maana wengi wa hawa watu wana-live a high style na kula bata kwa sana (hio sio kutumbua pesa bali ni marketing na promotion) mtu huwezi kumwambia umfundishe kutengeneza mamilioni ya shilingi wakati wewe maisha yako ni ya elfu hamsini....
Tatu: Eneo la tatu ni wale wanaotumia Trading skills zao ku-invest pesa za watu, wao pia hawana Risk, wakishinda wanapata faida na more business since watu wanaona faida, wakishindwa kidogo hawapati faida wala hasara ni hasara ya mwenye pesa; wakishindwa sana hawapati hasara yoyote ya pesa labda tu kupoteza wateja kwamba jamaa sio.... (Na hii ndio incentive ya kutokushindwa,,)
Let them be, focus on you pekee boss. Unapo share information ni recipient kuamua kuitendea kazi ama kuiweka kapuni ila nnachoshindwa kuelewa ni mtu anawezaje kuongelea kitu asichokijuaNimetoka kuongea mimi akaniona sijielewi...
Yaani kijuujuu ukisoma maelezo yake anaonekana unaongea points ila ukitulia walau dakika 2 kupitia alichoandika kwa umakini unakuka kugundua ni pointless...
Forex is not for everyone.Wenyewe wana kamsemo ka Forex is not for everyone๐๐๐
Risky business sio ya kushauriwa na mtu yoyote kuifanya; kabla ya yote mtu ni vema ukapata knowledge ya kitu (na sio kulipia information zipo widely available kila mahali) na mwenyewe utapima.., ila ndio hivyo its a risky unpredictable business (hata ma so called gwiji wanaliwa...)Mkuu nikuulize umewahi jaribu kufanya hiyo forex na ulianzaje na kama ni ndiyo una muda gani tangia uanze unaweza kutupa na detail kidg za kusapoti kwamba umewahi fanya ili kwa sisi ambao tunatamani kuingia huko tujue mapema
Okimangi nimemwambia anipe mchongo wa biashara isiyokuwa na hasara hapa duniani ila bado hajanipa mrejesho mpaka sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] Watanzania tumejaa ujuaji usiokuwa na "Ujuaji" .. Yaani mtu asiejua anajifanya kujua...
Asilimia kubwa ya wanaoponda biashara za currency ni wale walioingia kichwa kichwa kwa kuambiwa na walimu uchwara kuwa wataifikisha mitaji yao mbali ndani ya muda mfupi ... Wakiingia mchezoni wanakutana na mambo tofauti...
Mimi kipindi naanza Forex ilikuwa kila nikiweka order naunguza account ... Namshukuru mungu nilikuwa positive na kujifunza ... Ninaposema kujifunza namaanisha kujifunza kweli ... Nilianza kuwafuatilia wakina Adam Khoo na J. Stephens (Ingueni You Tube Muwafuatilie hawa)... Nikaanza taratibu kuona blue kwenye positions zangu ... Ila si rahisi ....
Biashara yoyote ya Mambo ya kifedha (Financial market business ) kwa maana ya Forex , indices, shares , commodities n.k inahitaji MTU kuandaliwa kisaikolojia zaidi ya ufundi wa soko lenyewe...
Ukikutana na walimu uchwara wakakuandaa kisaikolojia vibaya lazima utakuja kuumia mbeleni ....
Unakuta mtu anasema biashara ya fedha ni utapeli kwasababu kuna hasara kubwa lakini ukimwambia mbona kuna watu wamenunua hisa za vodacom na Leo wanalia kwa kupata hasara kubwa ?? Hakujibu ....
Kila biashara ina hasara na faida ... What matters ni Profit izidi Loss... Ukitarajia upate biashara ya faida Tu utasubiri sana ...
Mkuu usichukulie hili swali kama la kukushambulia Bali kutupa mwanga, He tangu umeanza forex imekuinua kwa kiasi gani kiuchumi?[emoji1] [emoji1] [emoji1] Watanzania tumejaa ujuaji usiokuwa na "Ujuaji" .. Yaani mtu asiejua anajifanya kujua...
Asilimia kubwa ya wanaoponda biashara za currency ni wale walioingia kichwa kichwa kwa kuambiwa na walimu uchwara kuwa wataifikisha mitaji yao mbali ndani ya muda mfupi ... Wakiingia mchezoni wanakutana na mambo tofauti...
Mimi kipindi naanza Forex ilikuwa kila nikiweka order naunguza account ... Namshukuru mungu nilikuwa positive na kujifunza ... Ninaposema kujifunza namaanisha kujifunza kweli ... Nilianza kuwafuatilia wakina Adam Khoo na J. Stephens (Ingueni You Tube Muwafuatilie hawa)... Nikaanza taratibu kuona blue kwenye positions zangu ... Ila si rahisi ....
Biashara yoyote ya Mambo ya kifedha (Financial market business ) kwa maana ya Forex , indices, shares , commodities n.k inahitaji MTU kuandaliwa kisaikolojia zaidi ya ufundi wa soko lenyewe...
Ukikutana na walimu uchwara wakakuandaa kisaikolojia vibaya lazima utakuja kuumia mbeleni ....
Unakuta mtu anasema biashara ya fedha ni utapeli kwasababu kuna hasara kubwa lakini ukimwambia mbona kuna watu wamenunua hisa za vodacom na Leo wanalia kwa kupata hasara kubwa ?? Hakujibu ....
Kila biashara ina hasara na faida ... What matters ni Profit izidi Loss... Ukitarajia upate biashara ya faida Tu utasubiri sana ...
Unaposema mtu hajui anachokiongea alafu huonyeshi ni wapi amekosea au amedanganya wapi ili tuongelee point na sio mtu ni kupotezea muda wako, na wa huyo mtu....,Nimetoka kuongea mimi akaniona sijielewi...
Yaani kijuujuu ukisoma maelezo yake anaonekana unaongea points ila ukitulia walau dakika 2 kupitia alichoandika kwa umakini unakuka kugundua ni pointless...
mkuu bado hujajibu swali langu pia umewahi fanya hiyo kitu na kama ulifanya ni kwa muda wa mwaka,miezi. Week, ngapi ?Risky business sio ya kushauriwa na mtu yoyote kuifanya; kabla ya yote mtu ni vema ukapata knowledge ya kitu (na sio kulipia information zipo widely available kila mahali) na mwenyewe utapima.., ila ndio hivyo its a risky unpredictable business (hata ma so called gwiji wanaliwa...)
Pia lazima ujue what kind of business mtu unafanya au anafanya.., ndio maana nikasema muuza vitabu, systems au anayekuita akufundishe trading (pale anachofanya ni kuuza information ambayo ni safe and sound hana uwezekano wa kupoteza); watu unaowapa pesa ili wa-manage funds zako mgawane faida (pia hawana risk ya kupoteza pesa sababu ni pesa za watu) kwahio ni choice yako kufanya kile unachofanya na bila kusahau lazima ujue fundamentals mfano. kwanini forex inapanda na kushuka.., all in all lazima ujue ni nini unataka, je unataka uwezekano wa kupata ma-bilioni ya pesa yanayokuja na uwezekano wa kupoteza ? na unaweza uka-afford kupoteza (hapa simaanishi uwezo wa kipesa pekee, bali wa emotional na furaha yako), Mwisho wa siku kuna safer investment ambazo zina low risk .., kwahio ni wewe mwenyewe na afya yako pamoja na familia yako ndio itakufanya uamue.., ila kujifunza hakuna gharama zaidi ya muda wako hata kama haufanyi sio mbaya ukajua kwanini this is not for you.....
Duh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,Okimangi nimemwambia anipe mchongo wa biashara isiyokuwa na hasara hapa duniani ila bado hajanipa mrejesho mpaka sasa
[emoji1] [emoji1]Unaposema mtu hajui anachokiongea alafu huonyeshi ni wapi amekosea au amedanganya wapi ili tuongelee point na sio mtu ni kupotezea muda wako, na wa huyo mtu....,
Kwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....Mkuu usichukulie hili swali kama la kukushambulia Bali kutupa mwanga, He tangu umeanza forex imekuinua kwa kiasi gani kiuchumi?
Sasa mkuu na wewe unanipotezea muda wangu..., hivi faida ya mimi kukujua wewe unafanya nini au mimi ni nani na nimefanya nini na wapi inaingiliana vipi na kinachofanyika au ukweli unaosemwa ?, Kwahio George Solos akiongea pumba sababu ni Trader mkubwa tuchukulie alichokiongea au alichokifanya..., Haya mambo ya kutegemea mtu sababu kafanya nini basi ndio anachokwambia ni sahihi ndio inapelekea wengi kuumia kwenye hizi recruiting businesses , Mimi nilidhani hapa tunaongelea Forex..., kumbe ni uzi wa kujuana ?mkuu bado hujajibu swali langu pia umewahi fanya hiyo kitu na kama ulifanya ni kwa muda wa mwaka,miezi. Week, ngapi ?
Unaposema risky business sio ya kushauriwa ,ni biashara ipi sio ya risk ???Risky business sio ya kushauriwa na mtu yoyote kuifanya; kabla ya yote mtu ni vema ukapata knowledge ya kitu (na sio kulipia information zipo widely available kila mahali) na mwenyewe utapima.., ila ndio hivyo its a risky unpredictable business (hata ma so called gwiji wanaliwa...)
Pia lazima ujue what kind of business mtu unafanya au anafanya.., ndio maana nikasema muuza vitabu, systems au anayekuita akufundishe trading (pale anachofanya ni kuuza information ambayo ni safe and sound hana uwezekano wa kupoteza); watu unaowapa pesa ili wa-manage funds zako mgawane faida (pia hawana risk ya kupoteza pesa sababu ni pesa za watu) kwahio ni choice yako kufanya kile unachofanya na bila kusahau lazima ujue fundamentals mfano. kwanini forex inapanda na kushuka.., all in all lazima ujue ni nini unataka, je unataka uwezekano wa kupata ma-bilioni ya pesa yanayokuja na uwezekano wa kupoteza ? na unaweza uka-afford kupoteza (hapa simaanishi uwezo wa kipesa pekee, bali wa emotional na furaha yako), Mwisho wa siku kuna safer investment ambazo zina low risk .., kwahio ni wewe mwenyewe na afya yako pamoja na familia yako ndio itakufanya uamue.., ila kujifunza hakuna gharama zaidi ya muda wako hata kama haufanyi sio mbaya ukajua kwanini this is not for you.....
Great, ka vp tuwekee na vipicha vya kishkaji tuone unavyobangua forexKwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....
Lies. Jibu pips ngapi sio tzs ngapi.Kwa ufupi , hakuna siku siingizi Pesa ya faida kati ya Tsh 60,000 mpaka 200,000....