UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Kwahiyo sasa hivi unatembea na wing ipi. I mean, umejiunga na signal / account management sehem nyingine, ama una trade mwenyewe.
Ama ume stop kwanza, unapiga kwanza vitabu. Ama umeachana kabisa na habari za forex forever!!

nmestop najifunza online tu ntaendelea mwenyewe kama nikijiridhisha nina knowledge na nina consistent profits kwenye demo
 
ok kumbe kama unameneji akaunt zozote zile za watu zikipotea Hanna kudaiana sasa kwannn wamzingue frans

wengine wana manage pesa ndogo ndogo kama dollar 100 had 200 ....huyo magnetics alkua anapokea kuanzia mill 1 plus kwaio ni pesa nying na alkua na vimikataba vyake thats y ....its easy to forgive 100 dollars sio mamilioni mkuu mfano umeweka m5 unaanzaje kusamehe coz aliaminisha sana watu ...ppo were putting big money haswa
 
Kwahiyo sasa hivi unatembea na wing ipi. I mean, umejiunga na signal / account management sehem nyingine, ama una trade mwenyewe.
Ama ume stop kwanza, unapiga kwanza vitabu. Ama umeachana kabisa na habari za forex forever!!

kuna watu wanafundishia forex simulator program i think its the best way of teaching someone coz kama mtu mbabaishaj kumdaka pale ni easy sana (hio ina real data za miaka na miaka so unarudisha nyuma time mfano 2004 may 5 unachagua time frame unafanya analysis zako unaingia trade then kama ni time frame kubwa una fast foward kupata results kwa haraka so ivo ...mtu anaejua tu ndo anaweza kukufundishia hio coz kama anamake losses kuliko profits utaona pale within no time
 
Sasa. Je ushawahi kuwasikia jamaa wengine wanajiita Forex_Elite_Academy (FEA)? Huwa nawafatilia insta (carloskapinga na nakodierfx) naona wako vizuri jamaa. Huwa wana trade timeframe za H1 tu. Nataka nijiunge signal subscription zao nione wakoje.

Na mshkaji mmoja anaitwa Gasper Kessy?? Sijui ushamsikia. Yeye anafanya pia autotrading. Yuko vizuri so far, mnagwana 50 kwa 50 kila week mbili.

Hujawahi kuwasikia hawa jamaa??
 
mkuu hiyo hiyo program unaipataje
 
hapana siwafamu ...u can try but weka hela ndogo sana ili hata ukipoteza isikupe presha ...bt if u love forex just take ur time n learn it ..coz ww ndo unajua uchungu wa pesa yako wale hawajui hilo
 
ha ha ha ha ha acha kutapeli watu
Nawatapeli aje mi sichukia hela, kuna aina mbili ya ma ac manager wanaochuka hela anatumia akaunt yake na wale wanao manage akaunt yako ukiwa nayo wewe na hela zako

Mi huyo wa pili unanipa detail zako za MT 4 tu kupitia expiriance yangu nafungua trade nawe unaziona then mwisho wa siku 30% yangu 70% yake ya profit

Tena hizo ni ndogo ila nafanya ivo kwa maana nafanya kwa hobby na ninajua ninachokifanya
 
Ukweli ni upyii
Unaandika uongo halafu unatangaza kuwa unauwezo wa kufanya account management!!
Uta manage vipi accounts za watu ikiwa hujui in&out za forex halafu unaongopa hadharani.
Wapi ulidanganywa kuwa IB broker anakata 10%
 
Nasema ninachokijua kuhusu broker ninaemtumia Mama Debora mim niki kudirect kumtumia broker wangu through my link ninachopata ni 10% parcent ya deposit yako na withdrawals 100deposit mi navutiwa 10usd, mi sinaga hizo marketing ila ndo inavyokua so ina vary kutoka broker kwa broker ye broker atajua ni jinsi gani ya kucover
 
Unaandika uongo halafu unatangaza kuwa unauwezo wa kufanya account management!!
Uta manage vipi accounts za watu ikiwa hujui in&out za forex halafu unaongopa hadharani.
Wapi ulidanganywa kuwa IB broker anakata 10%
Na pia hii IB ( introducing broker) unapata parcent kubwa pale unapompeleka mtu kwa market maker broker , na hi ndo inaleta lawama kama wale wa jaglid plaza na broker wao JP market, sijajua na add % ndogo ndogo zitokanazo na trading activities

Sijui ni kitu gani mi sikijui ktk forex labda crypto inaweza nipiga chenga anyway si lazima ni vyema kujua vyenye tija na kuvizingatia
 
HA ha ha haha ha
Nimekumbuka Masanja na kilimo cha mpunga
Mimi nimelima sana mpunga Kule Kyela, nikikumbuka zile adha unazozipata nawaza imekuwaje masanja
Yeye anatusua moja kwa moja kwa kilimo cha mpunga?
Baada ya hapo nawaona watu walivyokurupuka kulima mpunga hawakupata hata kindonya kimoja cha mpunga walikula za uso
sasa je tuseme masanja ni Tapeli?
Ha ha ha ha
Tuacheni na Forex jamani kila kitu kinahitaji elimu leo unauza kesho hauuzi ila unaamini mipango yako ukiendelea kusimamia vyema utaona faida
 
Telegram [emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312] join free
IMG_20190516_202926_274.jpeg
 
ATAWALIPA hayo ni maneno TU ya kuwafariji
Duh aisee pole kwa kijana mwenzetu ila mbona km kwa maelezo yake hapo juu anadai atawalipa haki zao hao wanaomdai .hata hivyo samahani mkuu point yako ni ipi kwa hili andiko uliloandika sorry km hujapenda nilichoandika
 
Back
Top Bottom